Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 33,478
- 39,997
Nadhani hapa hatumpimi kwa haki Lau. Itakuwa kwa haki endapo tungemlinganisha na mtu mwingine au watu wengine kwenye nafasi kama ya kwake ili kujua kama kutokujua "idadi" kunatosha kumfanya aonekane haijui wizara nzima.
- Je waziri wa Ulinzi anajua idadi ya kambi zote za jeshi nchini off the top of his head?
- Je waziri wa elimu anajua idadi ya vyuo vikuu vyote nchini na shule zote za sekondari za serikali ukimuuliza tu
- Je Waziri wa Afya anajua idadi ya hospitali zote za serikali nchini?
Mimi naona hili ni suala la cheap politics - ningependa hasa kujua beside ya kutokujua idadi. alizungumza nini cha kuoneshe incompetence yake?