Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 71,254
- 105,366
Presidential candidates wanaulizwa maswali wana nyumba ngapi sembuse waziri kuulizwa idadi ya magereza yaliyo chini ya wizara yake?
Huwezi kufanya comparison ya nyumba za mtu binafsi na magereza ya taifa. Na hata hizo nyumba Mzee McCain ana nyumba kibao mpaka akashindwa kuzi account vizuri kwenye presidential election.
Tatizo kitu cha msingi hapa ni kipi? Maana idadi ya magereza inatakiwa iwe starter question inayoelekea kwenye prison / prisoner density, Human rights violations, prisons as incubators of communicable diseases, unlawful and unnecessary imprisonment, free citizen/ prisoner ratio etc etc.
Tunaongelea hayo mambo yote? Au tunakazania kutolea macho waziri hajui idadi ya magereza kama hiyo ndiyo end of the story?
Wakati idadi ya magereza iko googable kabisa yani, vilaza wa Clouds FM hawajafanya homework yao tu.
Hata wewe kazini kwako sijui kama una kila figure at the tip of your tongue.Kusema "I don't have that off the top of my head" and "I will get back to you on that one" katika jamii ya watu wa kweli na precise si jambo la ajabu.
Mbona watu tunafanya hivyo corporate America kwenye cutthroat competition na "attention to detail"?. Tena rather than give an inexact unverified estimate, ukisema hivyo katika some meetings unaonekana mtu makini unaetaka uhakika kabla ya kujibu, sio kutoa figures hewa ili uwaridhishe watu tu.
Kama tunamshika shati Masha tumshike kwa mambo ya msingi, ambayo yapo mengi tu.
Siyo hizi trivial teetotaling.