Magufuli anajua kila detail ya Wizara yake? Kati yangu mimi ninayekubali kwamba Waziri hawezi kuwa na details zote za wizara yake, na wewe unayemsifia Magufuli kwamba anajua kila kitu nani analeta porojo hapa?
Tatizo watu wana confuse kuwa versed katika detail na utendaji, the two need not go together.Unaweza ukawa una detail zote lakini huna utendaji, na unaweza kuwa mtendaji unaye delegate kazi za number crunching kwa watu.
Huyo Nyerere mwenyewe mnaye m revere alikuwa anatoa hotuba zake live, huku akitoa statistics ambazo hana uhakika nazo, anaomba confirmation kutoka kwa watu wa administration yake, kwa sababu anajua mtu yeyote mwenye akili hawezi kumtegemea yeye kujua intricate details zote za nchi, it is just unrealistic.
Masha anasemeka sana, lakini kama mnataka kumsema msimseme kwa hili. Mtaonekana wazushi tu.
Take it from a known nitpicker.
Magereza yako mangapi Nchi hii hadi Waziri ashindwe kuyajua? Ungejisikiaje kwa mfano Mh Pinda aulizwe idadi ya mikoa nchi hii halafu akose jibu?