ofic naijua sio hiyo unajua ile cku mpesya anakwangau rangi nilienda ilikua ni mbaya zaid ya hapo so camin
Hana hela ya kupaka rangi huo ukuta au??
Jitahidi Sugu upambe ofisi, tunaamini wewe unatumikia wananchi lakini siyo kigezo cha kuishiwa utanashati pamba ofisi kwa mfuko wa jimbo;;;;;katiba mpya ikianza tunautoa huo mfuko na mbunge atatakiwa kusema atatufanyia nini tukimpa kura zetu na siyo kujiandaa kufisadi maisha yetu kama ilivyotokea miaka ya karibuni kwa wabunge wetu
Mbona ofisi yake imechoka namna hiyo!!
unajua kipaumbele kwake ni nini? jamani wananchi wanashida sana juzi nilienda kwenye ofisi ya mbunge wa Arusha nilikuta watu wamemzunguka wengi wamemshikilia koti lake wakitaka awape angalau TZS 500 maana ni wagojwa na hawana hata pesa na panado achiliambali pesa ya chakula baadhi wakitaka awape nauli ya kwenda kwa Babu Loliondo natusisau ndiyo kwanza mwezi wao wa 4..
alau file management angefundishwa, hiii picha inataswira nyingi ukiichunguza, utaona kuwa huyu mbunge hayuko makini, na inaonekana hakai ofisini, hapo just yupo kusoma Jamiiforums na kutuma umbeya
Watanzania kazi kweli kweli hivi mtu unazungumzia apambe ofisi, ar u real serious Mtanzania mwenye kujua mahitaji matatizo yanayoikabili Tanzania? Nina wasiwasi itafika wakati tutasema wapange kwny magorofa ya Nssf, ppf na mengine kwa kodi zetu kisa tunataka wakae kwny ofisi zenye gypsum na viyoyozi! Hivi wakati unapanga foleni kumpgia kura mbunge wako ilikuwa ni ili akuwakilishe kwny kukaa kwny ofisi yny kiyoyozi?
lakini angalau ina computer-laptop, na simu mbili, moja ya mezani na nyingine ya kiganjani. Nani ana wajibu wa kumjengea mbunge ofisi?
hahahahaha inawezekana kabisaaa hahaha antivirus remixhuenda anacheza game hapo au anapanga mistari.