Mh. Steven Wassira afunika Mwanza

Mh. Steven Wassira afunika Mwanza

nlidhani alikuwa na mkutano wa kisiasa wakakusanyika wengi na kupata wanachama wengi
kumbe ni harambee ya kanisa..
watu wengine wanakunywa kwanza chimpumu ndio wanakuja kupost mada humu.
sii bure tumeambiwa Tanzania inaongoza kwa kunywa mataputapu na mtoa mada ni mmoja wapo.
Mkuu kiongozi bora ni yule anayeshiriki kwa namna yoyote katika shughuli zake maendeleo na ustawi wa jamii. Ujenzi wa hospital kubwa kama ambayo wasabato wanaijenga mwanza ni jambo jema kwa jamii nzima kwa hiyo mtu yeyote bilateral kujali itikadi zake kidin wa kisiasa anayejishughulisha na huduma kama hizi kwa namna moja amazing nyingine ni lazima ss kama jamii tumpongeze... So kijana labda nkwambie kuwacmamia harambee haikuwa kwa ajili ya kujenga kanisa' ila ni kwa ajili ya kujenga hospital' kitu ambacho ni cha manufaa kwa jamii nzima' so suala la kunywa mataputapu hilo linaweza geukia upande wako endapo kama hujatambua tofauti kati ya ujenzi wa kanisa na hospitality au shule kwa jamii
 
hizo si ni sadaka za waumini , sasa Masatu kafunika nini ?
Masatu kasaidia kuhamasisha mkuu' make kuna watu humu ndan wanapenda kupost ilimradi wakatolik ukiwapa hata shughuli ya kuwacmamia MC wa harus hata 1milion hawafikish' so ni lazima tutambue mchango wa mhamasishaji katika hafla yoyote ile' tuache siasa' Masatu kajitahid kuhamasisha
 
hana ham aliyeleta hii maada chezea chadema wewew jf is for changes not masokwe na mafisafidi
 
Wanajifanya kumpondea Lowassa kumbe huwa wanamuonea wivu....
 
Akiongoza harambee ya kuchangia ujenzi wa hospitali ya Kanisa la Waadventista Wasabato Pansiansi Mwanza, ambayo inatarajiwa kuwa hospital kubwa ya 3 kwa jiji la Mwanza nyuma ya hospital za Bugando na ile ya mkoa ya rufaa ya Sekou Toure. Zimepatika Jumla ya sh milion mia tatu na kumi, mifuko 200 ya simenti na ahadi ya sh milion 10 cash.

Duh, maajabu kamwe hayataisha.
Pengine wachangiaji walikua wakiburudika na vengine kutoka kwa huyu bwana wakajikuta wanachangia zaidi!!
 
Akiongoza harambee ya kuchangia ujenzi wa hospitali ya Kanisa la Waadventista Wasabato Pansiansi Mwanza, ambayo inatarajiwa kuwa hospital kubwa ya 3 kwa jiji la Mwanza nyuma ya hospital za Bugando na ile ya mkoa ya rufaa ya Sekou Toure. Zimepatika Jumla ya sh milion mia tatu na kumi, mifuko 200 ya simenti na ahadi ya sh milion 10 cash.

Hivi ulipoanza kufungua hii page haukuona maneno yanasomeka " The Home of Great Thinkers"? uliona mengine yanasema "Jukwaa la Siasa"? kama ndio,Uliyaelewa? kama hapana,rudi kayasome kwanza na uelewe ndio uje tena jamvini.
 
Watu walifunika kuja kuona mnyama sokwe yupo church anapiga donation....hahahahaaaaa!!!
Maajabu mengine ni sokwe eti wazir wa migogoro na isipokuwepo anakufa njaa ndio maana anapandikiza udini ili apate kazi ya kufanya....hahahhaaaa
 
Stephen masatu wasira kanyaga twende wewe ni jembe achana na hao wanao kuita sokwe kwani mbowe na makengeza yake mbona hawa msemi au nyani haoni kundule umechangia hospital hao wanao kutukana wanachangia wachaga wakale na malaya zao MUNGU AKUBARIKI mheshimiwa na uzidi kuwaonyesha kwamba una nguvu za kushawishi watu wakachanga na sio kuandamana!
 
suala hapa linakujaje Kiongozi yuko kwenye harambee wewe
unaadika Kafunika Mwanza?
Unajua maana ya kufunika?
Heading yako ndio imeharibu maana nzima na dhana ya post yako
kwa vile wewe ni mwanasiasa umedhani kila kitu afanyacho kiongozi lazima kipostiwe kisasa.
hakuna aliepinga hiyo shughuli
tunachobishania hapa ni namna ulvotuhabarisha.
si ajabu kesho mkasema CCM wajenga hospitali Mwanza kutokana na harambee ya leo.
mind you sina chama cha siasa,chama changu ni kupigania maendeleo ya nchi,

Mkuu kiongozi bora ni yule anayeshiriki kwa namna yoyote katika shughuli zake maendeleo na ustawi wa jamii. Ujenzi wa hospital kubwa kama ambayo wasabato wanaijenga mwanza ni jambo jema kwa jamii nzima kwa hiyo mtu yeyote bilateral kujali itikadi zake kidin wa kisiasa anayejishughulisha na huduma kama hizi kwa namna moja amazing nyingine ni lazima ss kama jamii tumpongeze... So kijana labda nkwambie kuwacmamia harambee haikuwa kwa ajili ya kujenga kanisa' ila ni kwa ajili ya kujenga hospital' kitu ambacho ni cha manufaa kwa jamii nzima' so suala la kunywa mataputapu hilo linaweza geukia upande wako endapo kama hujatambua tofauti kati ya ujenzi wa kanisa na hospitality au shule kwa jamii
 
Wanaomsapot wasira wote ni maku:-*coz hajui uozo wake na huyo ni mwehu na we unayemsapoti pia mwehu
Stephen masatu wasira kanyaga twende wewe ni jembe achana na hao wanao kuita sokwe kwani mbowe na makengeza yake mbona hawa msemi au nyani haoni kundule umechangia hospital hao wanao kutukana wanachangia wachaga wakale na malaya zao MUNGU AKUBARIKI mheshimiwa na uzidi kuwaonyesha kwamba una nguvu za kushawishi watu wakachanga na sio kuandamana!
 
Sokwe ametoa jimboni kwake,hv huyo sokwe pesa kapata wapi wakati enzi za mwalimu viongoz walipimwa kwa uwezo,,,namwamwambia huyo anayejiita wasira kuwa yeye ni k***sokweeeeee!! Alafu ziwa nyasa ni mali ya walawi ,mbeya makete na ruvuma,si 2shachoka wachukue coz nchi imejaa mafisadi
 
Msaka tonge wewe ndiye mwehu maana unashabikia ujinga je uozo wa wasira ni upi unao zidi wa viongozi wako magaidi akina Lwakatale malaya kama slaa na mchuna maskini kama mbowe ambao wao kila siku ni kuhamasisha vijana kuandama wakati watoto wao wanakula kuku ulaya kwa michango yenu kweli wajinga ndio waliwao kama wewe ulivyo mwehu. Pole sana au ukiona vipi nenda kaolewe kwa mbowe uwe mkamwana wake!
 
Vijana wamepata morale wa juu baada ya maazimio ya jana
 
Back
Top Bottom