Kafunika coz hakuna kiongozi yeyote wa siasa ambaye alishawahi kuhamasisha harambee yenye mafanikio kama alivyofanya mh. Steven Masatu Wasirra. Hebu fikiria lengo la harambee kwa leo ilikuwa ni kupata kiasi cha sh milion 250 kwa ajili ya kufikisha jengo mahala flan, lakn mh. Wassira amehamasisha mpaka imepatikana kiasi cha sh. Milion 310 fedha taslim, mifuko 200 ya simenti na ahadi ya sh. Milion 10. Jaman huyu Mh. Hajafunika? Au ulitaka niseme Lowasa, au MBowe, au Slaa kafunika ndo uckie raha? Hebu funguen akili zenu mgando hizo, mpongezen mtu anapofanya vema , mkosoen anapokosea... Hiyo ndo siasa.. Na c kuporomosha mitus na kujifanya mnajua sana kunyambua...suala hapa linakujaje Kiongozi yuko kwenye harambee wewe
unaadika Kafunika Mwanza?
Unajua maana ya kufunika?
Heading yako ndio imeharibu maana nzima na dhana ya post yako
kwa vile wewe ni mwanasiasa umedhani kila kitu afanyacho kiongozi lazima kipostiwe kisasa.
hakuna aliepinga hiyo shughuli
tunachobishania hapa ni namna ulvotuhabarisha.
si ajabu kesho mkasema CCM wajenga hospitali Mwanza kutokana na harambee ya leo.
mind you sina chama cha siasa,chama changu ni kupigania maendeleo ya nchi,
Akiongoza harambee ya kuchangia ujenzi wa hospitali ya Kanisa la Waadventista Wasabato Pansiansi Mwanza, ambayo inatarajiwa kuwa hospital kubwa ya 3 kwa jiji la Mwanza nyuma ya hospital za Bugando na ile ya mkoa ya rufaa ya Sekou Toure. Zimepatika Jumla ya sh milion mia tatu na kumi, mifuko 200 ya simenti na ahadi ya sh milion 10 cash.
Sasa ndo amefunika nini huyo Sokwe!
mzee wa mgogoro wa kuchinja, adui wa wakristo na ukristo kwa kutumiwa na jk. Huu ni unafiki!Akiongoza harambee ya kuchangia ujenzi wa hospitali ya Kanisa la Waadventista Wasabato Pansiansi Mwanza, ambayo inatarajiwa kuwa hospital kubwa ya 3 kwa jiji la Mwanza nyuma ya hospital za Bugando na ile ya mkoa ya rufaa ya Sekou Toure. Zimepatika Jumla ya sh milion mia tatu na kumi, mifuko 200 ya simenti na ahadi ya sh milion 10 cash.
Kafunika coz hakuna kiongozi yeyote wa siasa ambaye alishawahi kuhamasisha harambee yenye mafanikio kama alivyofanya mh. Steven Masatu Wasirra. Hebu fikiria lengo la harambee kwa leo ilikuwa ni kupata kiasi cha sh milion 250 kwa ajili ya kufikisha jengo mahala flan, lakn mh. Wassira amehamasisha mpaka imepatikana kiasi cha sh. Milion 310 fedha taslim, mifuko 200 ya simenti na ahadi ya sh. Milion 10. Jaman huyu Mh. Hajafunika? Au ulitaka niseme Lowasa, au MBowe, au Slaa kafunika ndo uckie raha? Hebu funguen akili zenu mgando hizo, mpongezen mtu anapofanya vema , mkosoen anapokosea... Hiyo ndo siasa.. Na c kuporomosha mitus na kujifanya mnajua sana kunyambua...
Hivi mtu akienda kanisani anakua amefunika?
Kaka inaonesha ni jinsi gani ulivo na akili mgando na unakariri. Anyway ngoja nikueleweshe, kati ya pesa zilizochangwa, mh. Wassira ametoa sh milion 9, askofu mkuu wa wasabato Tanzania ametoa sh milion 42 na askofu mkuu wa jimbo la mwanza ametoa sh milion 47, mimi binafs nimetoa sh milion 2 zilizosalia wametoa waumin wengine, wageni waalikwa na wanamwanza kwa ujumla. Sasa pesa za kifisadi hapo ziko wapi? Mkuu mm napiga kazi mgodin nimekomaa kwa kipindi chote hicho Mungu amekuwa akinilinda na kunipa uwezo wa kufanya kaz na sasa nkaamua kumrudishia Mungu wangu shukran' naamin ntaendelea kubalikiwa na nitapata zaidi, sasa ufisadi unatoka wap hapo? wewe kaa ukifikir kila kitu ni ufisad wakati wengine washachagua maisha na wanapiga kaz na wanafanikiwa ... Fanya kaz, muombe Mungu ukipatacho rudisha shukran kwa Muumba wako achen visingizio kila msikiapo watu wa Mungu wamemtolea Mungu shukran wao na kusema hela za kifisad kosa tu ni kuwaalika wanasiasa.. kijana kwa taarifa yako hii nchi kuna watu wapo serious na wanafanya kaz kwa bidii na wanafanikiwa. Toka kijiwen kijana komaa na kaz' acha siasa uchwara. Utakufa njaaa huku ukiwaona wenzio wanafanya mambo makubwa na wewe ukifjifariji na maneno kama hayo, et pesa za kifisadi. Kiukwel pesa aliyoitoa Mh. Wassira, hata mienendo ningefunguka kwenye acount yangu ningeweza kumpiga fimbo, lakn kinachoongelewa hapa ni uwezo na ushawish alionao huyu mzee katika kuwahimiza watu kuchangia mpaka hicho kiwango kikafikiwa.90% ya hizo fedha zilizochangwa zitakuwa ni hela za mafisadi na wezi wa rasilimali zetu
kwa vile mmeona hela hamjajiuliza zimet0ka wapi hizo hela.
hiz hizo walizoiba ndio wamezitoa hapo ili kujisafisha.
Funguka think deep....
Chunguza hao wachangiaji na kazi wanazofanya utapata majibu mengi..
Sitta alitahaharisha makanisa kuwa makini na hizo fedha za damu..
we unadhani kwa nini wamemtumia wasira wasimtumie Mkuu wa kanisa la wasabato Tanzania?
Milion 2 mkuu.Wewe umechanga shilingi ngapi?