Mh. Steven Wassira afunika Mwanza

Mh. Steven Wassira afunika Mwanza

JUDAMANY

Member
Joined
Jul 23, 2012
Posts
64
Reaction score
23
Akiongoza harambee ya kuchangia ujenzi wa hospitali ya Kanisa la Waadventista Wasabato Pansiansi Mwanza, ambayo inatarajiwa kuwa hospital kubwa ya 3 kwa jiji la Mwanza nyuma ya hospital za Bugando na ile ya mkoa ya rufaa ya Sekou Toure. Zimepatika Jumla ya sh milion mia tatu na kumi, mifuko 200 ya simenti na ahadi ya sh milion 10 cash.
 
Akiongoza harambee ya kuchangia ujenzi wa hospitali ya Kanisa la Waadventista Wasabato Pansiansi Mwanza, ambayo inatarajiwa kuwa hospital kubwa ya 3 kwa jiji la Mwanza nyuma ya hospital za Bugando na ile ya mkoa ya rufaa ya sekou toure. Zimepatika Jumla ya sh milion mia tatu na kumi, mifuko 200 ya simenti na ahadi ya sh milion 10 cash

Ma-joker mengine bwana! Sasa ndiyo kafunika nini hapo? Kutumika kubaya jamani.
 
Amefunika udini kwa sabb ndo aliyewafumbua macho wakristo wa mwanza kwamba kwa muislam kuchinja ni ibada so wakristo wamekuwa wakishiriki ibada za waislam bila kujua
 
Mpuuzi tu huyo chimpanze.mchochoze wa udini.
 
mzee akili si nzuri huyu mzee mzima hutoka na kuanza kelele za ka teenager
 
Usikute hao wote walichanga kama kiingilio cha kuona mnyama adim ama alianyiwa mnada wa wale wanaotaka kumuona lazima walipie.
 
hizo si ni sadaka za waumini , sasa Masatu kafunika nini ?
 
Akiongoza harambee ya kuchangia ujenzi wa hospitali ya Kanisa la Waadventista Wasabato Pansiansi Mwanza, ambayo inatarajiwa kuwa hospital kubwa ya 3 kwa jiji la Mwanza nyuma ya hospital za Bugando na ile ya mkoa ya rufaa ya Sekou Toure. Zimepatika Jumla ya sh milion mia tatu na kumi, mifuko 200 ya simenti na ahadi ya sh milion 10 cash.
JUDAMANY inawezekana hujui ulichoandika. Ni kweli zilipatikana 300,000,000 taslimu na ahadi 10 million? au ni cash 10 million na ahadi 300,000,000? Hiyo saruji waalikwa walikuja nayo ikiwa kwene bahasha za "size" gani?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom