Mh. Rais mrudishe Said Meck Sadick Dar es salaam

Kilimo ni ="jingalao, post: 16863918, member: 56995"]Gezaulole ni lugha ya picha Great thinker jaribu kufikiri....

Kwenda Geza Ulole inareflect maamuzi yaliyowahi kufanywa miaka ilee ya Nyerere ya kukamata wazururaji na kuwapeleka Geza Ulole na maeneo mengine na hadi leo pamekosekana pa kulima.

Unapojiita GT inatakiwa u-stretch your imagination ....[/QUOTE]
Kilimo ni fani, si kila mzururaji anaweza kazi ya Kilimo. Utawala wa Nyerere ulifanya hili kosa na kubeba wazururaji wote na kuwa classify kuwa ni wakulima hivyo kuwasombelea vijijini but soon walibaini kwamba si wakulima..
 
Kwa hiyo rais kakosea kumteua fisadi Sadick kuwa mkuu wa mkoa Kilimanjaro?
achana na fisi huyo hivi huo ufisadi wa mec sadic wewe tu ndio unaojua sio hata raisi wako haujui mpaka aendelee kumteua ana kweli walopokaji wanashida sana.
 
Kuna sehemu nimesoma jamaa kaandika Makonda amewadhalilisha wanaume wa Dar, sijaelewa alimaanisha nini!
 
Kosa linalofanywa na wakuu wa nchi hii ni kufikiri kuwa Dar es salaam inatakiwa iongozwe na mtu anayeongea sana kwenye vyombo vya habari.

Kama Makonda ni mchapa kazi na mbunifu kwa nini asipelekwe Lindi,au Dodoma au huko Katavi ili akawaletee maendeleo?

Mkoa kama Dodoma ni maskini sana ndio uliopaswa uongozwe na kiongozi nchapa kazi kuliko wote ili tuone mabadiliko.
Na uwezo wa kiongozi ulipaswa uonekane kwa kuongoza ile mikoa maskini zaidi.
 
Ukweli mchungu lakini ukweli Makonda hili jiji sio saisi yake...angejaribiwa kwenye mikoa mipya. Hapa ndio kitovu cha kila kitu...
Hili jiji ndio commercial centre ya nchi
Hapa ndio kodi kubwa zaidi inakusanywa
Hapa ndio kioo cha nchi
Makonda ni kijana lakini bado ulikua uamuzi wa nia njema lakini nadhani Sadick Meck ndio stahili yake ....au Zungu mbunge wa ilala au tungempa hii Sefue ombeni...
 
Mtu yoyote anaefanya kazi kwa kutafta sifa tena sio kwa wananchi bali aliyemuweka ndo inamghalimu makonda
 
Unajua UFISADI WA MECK SADICK alikuwa anaufanya MRADI WA KIGAMBONI akiwa na mama jizi Tibaijuka..? KDA unaijua..? wakati Meck akiwa RC Dar unajua madudu yake ww..? Unajua AVIC town kigamboni ni ya nani au wana share na nani..? Mgogoro wa ardhi Kigamboni hadi Mh. Waziri Lukuvi sasa kaumaliza unajua nani alikuwa nyuma yake, Tibaijuka, na Meck ndio vinara...!! Acha ujinga

Tutoleee ukifafa hapa.. plse
Sasa kama ni fisadi kwanini kapewa tena u RC, au ufisadi kuufanyia mikoa mingine Sawa... Acha kubwabwaja
 
Hii tabia ya kuwaita watu mafisadi baada ya kuondoka kwenye uongozi sijui mtaiacha lini.Inakuwaje watu mnao kwenye chama mnashindwa kuwawajibisha hao mafisadi ni siku nyingi watu tunamjua mzee Sadick kwamba ni mtu mwadilifu kumbe nyie mmeshajua alicho fisidi huku mkiogopa hata kumgusa
Mkuu hawa watu ni wanafiki sijapata ona
 
Alishasema huyo RC wa sasa ni jembe. Sidhani kama atamtoa.
Juzi kasema ukiona adui anakusema sana jua umemgonga haswa, hajui kelele zingine zinamsaidia kujua yupi anamhujumu.
 
Usiniwekee maneno mdomoni, ukanichonganisha na Rais wangu Magufuli naye muamini na kumpenda mno..!!

Ila ingekuwa mm ndio Rais, ningempiga chini Meck Sadick..!! haraka sana tu

Alafu you made big mistake.. Huwezi sema Tz ndio Dar na Dar ndio Tz.. where hv you been schooling that..? Hz shule za wapi..?

Clear statement with Logic is..

Dar ni Tanzania..✔✔✔✔✔
na Tanzania SIO Dar.. ❌❌❌❌❌
narudia tena Tanzania SIO DAR... ushindwe..!!❌❌❌❌❌❌❌❌❌
Unataka kutuambia kuwa hujui Kama Tanzania ni Dar???
 
Sasa mbona anataka kusumbua watu town ?! Ajiulize Magesa Mulongo yuko wapi ?! Alikuwa na mihemko kama yake
Kweli kabisa Magesa alikuwa anawasimamisha kazi watumisha kila mara hadi kawakamata walimu kuwa wanatembea na wanafunzi na kuwasweka rumande unataka kuniambia magufuli alikuwa hasupport utumbuaji wake hadi katumbuliwa yy mwenywe????let's wait time will tell,P.Makonda ana mihemko sana kuzudi Mulungo!
 
Back
Top Bottom