Col FEN
JF-Expert Member
- Jun 16, 2017
- 327
- 460
MH.RAIS , Salaam aleykum/Amani ya Bwana iwe nawe.
Mh.Rais mimi ni mkulima wa Mahindi na mwaka huu niliongeza juhudi ya kulima kwa sababu ulituahidi na ukatoa maagizo kuwa Mkulima ana uhuru wa kuuzaa Mazao yake popote apendapo na kwa bei tupendayo. Na hadi ukafikia kusema kuwa huu ni wakati wetu sisi wa kulima kutajirika.
Lakini cha kushangaza juzi hapa Mh. Waziri Mkuu amepiga marufuku kusafirisha Mahindi nje ya Nchi.
Mh. Rais Je ulitudanganya sisi wakulima ?
Tunaomba tujuwe msimamo wako katika hili Jambo.