Elungata
JF-Expert Member
- Jan 28, 2011
- 40,343
- 33,487
Rais alikuwa sawa.
Na pia waziri mkuu yuko sawa.
Tatizo lilipo biashara ya mazao imeingiliwa na walanguzi,
yaani wanalangua mazao yote na kuyahodhi na kisha kuyapeleka kenya,
huku wanaacha unga bei juu,mchele bei juu,
ilikuwa haijawahi kutokea tangu uhuru hii nchi wakati wa mavuno eti unga unakuwa na bei juu kuliko mchele,
kumbe walanguzi mahindi yote wanapeleka kenya,
mchele msimu wa mavuno unashuka hadi 1000 kwa kilo leo kabla ya zuio mchele unagota 2000.
Kumbe mchele wote unavuka kwenda Rwanda,congo etc.
Wanaofaidi ni walanguzi na sio wakulima ,
zuio liendelee