Mh. Rais mbona umetuachia njiani ???

Mh. Rais mbona umetuachia njiani ???

Tokea ujengwe uwanja wa ndege wa Chato katika Bajeti ya kwanza imani yangu imeshuka hadi zero kwa Sizonje
 
Tangu unaweka imani na pombe hicho kilevi tuu 2020 mwaga pombe!
 
MH.RAIS , Salaam aleykum/Amani ya Bwana iwe nawe.

Mh.Rais mimi ni mkulima wa Mahindi na mwaka huu niliongeza juhudi ya kulima kwa sababu ulituahidi na ukatoa maagizo kuwa Mkulima ana uhuru wa kuuzaa Mazao yake popote apendapo na kwa bei tupendayo. Na hadi ukafikia kusema kuwa huu ni wakati wetu sisi wa kulima kutajirika.
Lakini cha kushangaza juzi hapa Mh. Waziri Mkuu amepiga marufuku kusafirisha Mahindi nje ya Nchi.

Mh. Rais Je ulitudanganya sisi wakulima ?
Tunaomba tujuwe msimamo wako katika hili Jambo.
Uza kokote ndani ya nchi siyo usafirishe kinyemela nje ya nchi.
 
Daaah ndio nchi yetu hii ya matamko, leo sawa kesho sio sawa..Uzia hapa Bongo tu
 
MH.RAIS , Salaam aleykum/Amani ya Bwana iwe nawe.

Mh.Rais mimi ni mkulima wa Mahindi na mwaka huu niliongeza juhudi ya kulima kwa sababu ulituahidi na ukatoa maagizo kuwa Mkulima ana uhuru wa kuuzaa Mazao yake popote apendapo na kwa bei tupendayo. Na hadi ukafikia kusema kuwa huu ni wakati wetu sisi wa kulima kutajirika.
Lakini cha kushangaza juzi hapa Mh. Waziri Mkuu amepiga marufuku kusafirisha Mahindi nje ya Nchi.

Mh. Rais Je ulitudanganya sisi wakulima ?
Tunaomba tujuwe msimamo wako katika hili Jambo.
Wakulima naomba munielweee...
Nilichosema Ni muuze popote kwa kufuata taratibu zilizowekwa Na serikali yangu.

Narudia tena ambae hataki kuuza hapa Tanzania aache yabunguliwe tutawapa kuku...kwani utajiri lazima uuze Kenyaa!!?Rwandaa!!?Burundii!?somaliaa!?

Wewe uzaaa akija mwenye ng'ombe debe mojaa muuzie kwa ng'ombe watatu..uone kama hutatajirika.
Eti wakulima nasema uongo jamani!!?

Eeeeeh musemakweli Ni mupenzi wa MUNGU!!!
 
MH.RAIS , Salaam aleykum/Amani ya Bwana iwe nawe.

Mh.Rais mimi ni mkulima wa Mahindi na mwaka huu niliongeza juhudi ya kulima kwa sababu ulituahidi na ukatoa maagizo kuwa Mkulima ana uhuru wa kuuzaa Mazao yake popote apendapo na kwa bei tupendayo. Na hadi ukafikia kusema kuwa huu ni wakati wetu sisi wa kulima kutajirika.
Lakini cha kushangaza juzi hapa Mh. Waziri Mkuu amepiga marufuku kusafirisha Mahindi nje ya Nchi.

Mh. Rais Je ulitudanganya sisi wakulima ?
Tunaomba tujuwe msimamo wako katika hili Jambo.
Magufuli hana msimamo, ni kama bendera inayofuata upepo. Muda wowote anaweza kugeuka upande wowote kwa sababu hana kanuni za msingi anazofuata.

Kama ulikuwa huelewi hili utashangaa anachofanya.

Kwa mtu kama mimi niliyeelewa hili kitambo, siwezi kushangaa.
 
Ndani ya CCM kuna kiwanda cha kufyatua uongo
 
Tutaelewana tu, mbele kwa mbele
 
Back
Top Bottom