Habari wajf?
Mh. Waziri Maji naomba kukuuliza swali dogo tuuu.. natambua unamiliki mabasi ya KIDIA ONE kwa 100% ni mengi sana na makubwa, ingawa wewe umeyaita jina la mzee kidia wa mwanga
Je pesa zote hizi umezitoa wapi za kununulia mabasi haya yote? Nikitambua pato lako haliwezi kabisa kununua mabasi haya, je watanzania tutapata maji kila kijiji/kata?
Nawasilisha wakuu, kwani huyu mzee ni mwizi mbaya.
pole sana.
Mkuu hii unaionaje Chumia Cheo Mapema.Chukua Chako Mapema
Huyo ni Profesa labda inawezekana mapato anayopata kwa kutoa mada katika vyuo mbalimbali nchini na nje ya nchi.Habari wajf?
Mh. Waziri Maji naomba kukuuliza swali dogo tuuu.. natambua unamiliki mabasi ya KIDIA ONE kwa 100% ni mengi sana na makubwa, ingawa wewe umeyaita jina la mzee kidia wa mwanga
Je pesa zote hizi umezitoa wapi za kununulia mabasi haya yote? Nikitambua pato lako haliwezi kabisa kununua mabasi haya, je watanzania tutapata maji kila kijiji/kata?
Nawasilisha wakuu, kwani huyu mzee ni mwizi mbaya.
mmmh..... napita tu
SU=soma ule
Mkuu siyo kwamba nataka kumtetea Mh.Majembe/Maghembe lakini tukumbuke kwamba Prof. alikuwa anafanya kazi nje ya nchi kwa muda mrefu sana, sasa kati hilo atuwezi kujua alikuwa amejitayarisha kivipi kwa maisha yake ya baadae na alikuwa na connection gani na watu wa nje wenye uwezo wa kumpiga tafu; kitu kingine kama Mh.Maghembe ni mjasilia mali basi ana uwezo wa kwenda Benki yoyote akapewa mkopo wa kununua chochote, tukumbuke kwamba asimili mia kubwa ya wafanya biashara wana kawaida ya kuchukua mkopo Benki. Kama una ushahidi wa kuonyesha kwamba amefanya mambo mengine tofauti, basi ililete kwenye jamvini tuijadiri.Habari wajf? Mh. Waziri Maji naomba kukuuliza swali dogo tuuu.. natambua unamiliki mabasi ya KIDIA ONE kwa 100% ni mengi sana na makubwa, ingawa wewe umeyaita jina la mzee kidia wa mwanga Je pesa zote hizi umezitoa wapi za kununulia mabasi haya yote? Nikitambua pato lako haliwezi kabisa kununua mabasi haya, je watanzania tutapata maji kila kijiji/kata? Nawasilisha wakuu, kwani huyu mzee ni mwizi mbaya.