Mh. Prof Jumanne Maghembe Ni Fisadi Mkubwa.

frema120

JF-Expert Member
Jan 1, 2012
5,099
1,337
Habari wajf?
Mh. Waziri Maji naomba kukuuliza swali dogo tuuu.. natambua unamiliki mabasi ya KIDIA ONE kwa 100% ni mengi sana na makubwa, ingawa wewe umeyaita jina la mzee kidia wa mwanga

Je pesa zote hizi umezitoa wapi za kununulia mabasi haya yote? Nikitambua pato lako haliwezi kabisa kununua mabasi haya, je watanzania tutapata maji kila kijiji/kata?

Nawasilisha wakuu, kwani huyu mzee ni mwizi mbaya.
 
pole sana.
 
Huyo ni Profesa labda inawezekana mapato anayopata kwa kutoa mada katika vyuo mbalimbali nchini na nje ya nchi.
 
Professor anafanya biashara ya ma bus?nchi hii itakua na wataalamu,watafiti,washauri,wavumbuzi kweli.Pia wewe mleta uchi umechemsha KIDIA ONE alianza na coaster pale biafra,na duka la spea,mchina anakopesha ma bus,hata wewe unaweza pata ukiamua.kuna uzi humu pia ulikuja na ma bus ya KIRUMO eti ya maghembe
 
Wewe mama wivu utakua wewe fanya kazi acha kudiscuss vya watu utakufa maskini
 
Habari wajf? Mh. Waziri Maji naomba kukuuliza swali dogo tuuu.. natambua unamiliki mabasi ya KIDIA ONE kwa 100% ni mengi sana na makubwa, ingawa wewe umeyaita jina la mzee kidia wa mwanga Je pesa zote hizi umezitoa wapi za kununulia mabasi haya yote? Nikitambua pato lako haliwezi kabisa kununua mabasi haya, je watanzania tutapata maji kila kijiji/kata? Nawasilisha wakuu, kwani huyu mzee ni mwizi mbaya.
Mkuu siyo kwamba nataka kumtetea Mh.Majembe/Maghembe lakini tukumbuke kwamba Prof. alikuwa anafanya kazi nje ya nchi kwa muda mrefu sana, sasa kati hilo atuwezi kujua alikuwa amejitayarisha kivipi kwa maisha yake ya baadae na alikuwa na connection gani na watu wa nje wenye uwezo wa kumpiga tafu; kitu kingine kama Mh.Maghembe ni mjasilia mali basi ana uwezo wa kwenda Benki yoyote akapewa mkopo wa kununua chochote, tukumbuke kwamba asimili mia kubwa ya wafanya biashara wana kawaida ya kuchukua mkopo Benki. Kama una ushahidi wa kuonyesha kwamba amefanya mambo mengine tofauti, basi ililete kwenye jamvini tuijadiri.
 
Mleta mada umekosea. Mabasi ya kidia one ni mabasi ya mchaga mmoja wa moshi vijijini katika kata ya kidia mtaa wa kisangada ambapo mabasi ya huko yanapandiwa kiboriloni barabara ya kwenda old moshi. Alianza na coaster na mara zote wachaga wa kidia huzitumia kuja nazo moshi panapotokea matatizo
 
Habari wajf?
Mh. Waziri Maji naomba kukuuliza swali dogo tuuu.. natambua unamiliki mabasi ya KIDIA ONE kwa 100% ni mengi sana na makubwa, ingawa wewe umeyaita jina la mzee kidia wa mwanga

Je pesa zote hizi umezitoa wapi za kununulia mabasi haya yote? Nikitambua pato lako haliwezi kabisa kununua mabasi haya, je watanzania tutapata maji kila kijiji/kata?

Nawasilisha wakuu, kwani huyu mzee ni mwizi mbaya.

mh siamin amin vlee mbn karud tn bt wizara nyngne tn nyeti tanzania maliasili na utalii c lele mama
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom