Mh. Prof Jumanne Maghembe Ni Fisadi Mkubwa.

Habari wajf?
Mh. Waziri Maji naomba kukuuliza swali dogo tuuu.. natambua unamiliki mabasi ya KIDIA ONE kwa 100% ni mengi sana na makubwa, ingawa wewe umeyaita jina la mzee kidia wa mwanga

Je pesa zote hizi umezitoa wapi za kununulia mabasi haya yote? Nikitambua pato lako haliwezi kabisa kununua mabasi haya, je watanzania tutapata maji kila kijiji/kata?

Nawasilisha wakuu, kwani huyu mzee ni mwizi mbaya.

Huu ni uvimbe unaohitaji operation na si jipu la kutumbuliwa
 
Professor anafanya biashara ya ma bus?nchi hii itakua na wataalamu,watafiti,washauri,wavumbuzi kweli.Pia wewe mleta uchi umechemsha KIDIA ONE alianza na coaster pale biafra,na duka la spea,mchina anakopesha ma bus,hata wewe unaweza pata ukiamua.kuna uzi humu pia ulikuja na ma bus ya KIRUMO eti ya maghembe
Tatizo lao sio tuu kufanya tafiti pia ni wajinga sana kuweza buni biashara mpya.Wahindi wamewafaidi sana maccm. yakishaiba hayajui pa kupeleka yanawapelekea dili ,eti wao ndio wanaaminika,eti wao ndio wanajua pesa,mwishow a siu wahindi wanabadili uraia.
 
Ninachojua:

Maghembe ni mchawi balaa... Usangi kuna sehemu moja inaitwa "Kwa Chegho"... Hapo anapeleka ng'ombe kila mwaka.
 
Back
Top Bottom