Mh Polepole anawauliza hapa ni wapi?

Mh Polepole anawauliza hapa ni wapi?

Wanam-zoom tu jamaa! Atajaa kwenye mfumo soon na hatosikika tena!!
 
J
Pole Pole ametoka CUBA ,anavuruga tu hapo ,kumbe hiyo clip usikute alirecord mwaka 2024.
Jamaa ni mjanja kweli kweli 😳 !
Na inaelekea ana uhakika na kile anachokifanya !
Lakini kwa sababu ya AI sidhani kama yupo Bongoland !
Ngoja tusikie Nondo zake mpya mpya 😳 !
 
Achana na Polepole. Kachanganyikiwa huyu.
Wewe ndiyo umechanganyikiwa jichunguze kwanza, yaani hutaki kukosolewa ? Kila anayekukosoa unawatuma Polisiccm wabambike kesi, lazima ajifiche hadi uache uonevu manyanyaso kwa wakosoaji kwanza
 
Kwa hiyo aka kajamaa ndiko kanazima internet mida flaniflani hapa Tanganyika na kanaendelea kunenepa huku kakijisingizia kuwa eti kamewehuka?
 
Wewe ndiyo umechanganyikiwa jichunguze kwanza, yaani hutaki kukosolewa ? Kila anayekukosoa unawatuma Polisiccm wabambike kesi, lazima ajifiche hadi uache uonevu manyanyaso kwa wakosoaji kwanza
Huyu, ni tamaa tu ya nafasi za juu. Alipata akakataa Katiba mpya, sisi tumsaidiaje.
Pesa ya kula alipata, lakini kwa tamaa anataka cheo cha juu zaidi. Kalaga baho!
 
Nilichogundua huyu baba anatamani akamatwe ili apate kiki zaidi.. anajioma kama mpango wake wa kubwabwaja hauleti impact aliyoitegemea na mambo yanazidi kusonga sasa anajitokeza ili angalau amake headlines

Dear Jamhuri polepole ni wa kupuuzwa wala asitafutwe aendelee na press zake huku siku zinaenda atanyamaza mwenyewe
Mbona mnazimaga youtube? Kama ni wa kupuuzwa
 
Back
Top Bottom