Mh Polepole anawauliza hapa ni wapi?

Mh Polepole anawauliza hapa ni wapi?

Wakuu wa majeshi wanapata pension Nono, wanajengewa nyumba, wanapewa V8 kama zawadi ya kustaafu.

Hii ni hongo inayokwenda kwa 5% ya top cream jeshini. MkiSubiri jeshi lichukue nchi mtasubiri sana. Hawa wakubwa wanalinda hongo zao.
Kweli kabisa....
 
Hapo ni posta ye pole pole anataka kutupeleka wapiiiii!?au kule kwa 2015-2020 kwenye maziwa na asali!?
 
Wakuu wa majeshi wanapata pension Nono, wanajengewa nyumba, wanapewa V8 kama zawadi ya kustaafu.

Hii ni hongo inayokwenda kwa 5% ya top cream jeshini. MkiSubiri jeshi lichukue nchi mtasubiri sana. Hawa wakubwa wanalinda hongo zao.
Yanakosea sana yanapothamini utajiri binafsi na kuiacha nchi inafanyiwa upumbavu kama hayajaapa kulitetea taifa. Vyombo vya ulinzi na usalama wa taifa vimelala fofofo. Bora mara 1000 Polepole kajitoa sana aise, yaani amepambana sana inahitaji kujivika mabomu hasa ya ujasiri kukabiliana na liccm
 
Wakuu wa majeshi wanapata pension Nono, wanajengewa nyumba, wanapewa V8 kama zawadi ya kustaafu.

Hii ni hongo inayokwenda kwa 5% ya top cream jeshini. MkiSubiri jeshi lichukue nchi mtasubiri sana. Hawa wakubwa wanalinda hongo zao.
Hakuna sehemu ambayo top wamechukua nchi labda Abacha tu nayeye alianza hekahela kichinichini akiwa sio top alipofika utop akanyakua ikulu kama mwewe.
 
Polepole unapoteza muda na credibility yako!
Rais Samia anagombea tena muhula mmoja kwa mujibu wa Katiba ya JMT.
Na wala Katiba ya CCM na utamaduni wa CCM haviwezi kuwa juu ya Katiba ya Nchi.
Hujui chochote kuhusu sheria .
Huna haja ya kutembea usiku kama mnyama karunguyeye, tumia muda wako vizuri kujifunza Sheria na hasa ukuu wa Katiba ya JMT yaani supremacy of the Constitution.
 
Back
Top Bottom