Mh Polepole anawauliza hapa ni wapi?

Mh Polepole anawauliza hapa ni wapi?

Pole pole anatapa tapa tuu Hana jipya, hii nchi huwez kupata mabadriko Kwa kutegemea hawa wanachi, hii nchi nguzo ya mabadriko ipo kwenye defence , sehemu ambayo CCM ndo wamelalia
Sahihi kabsa huwezi kushinda kwa kutumia diplomasia kwa mtu anayetumia mabavu.✍️📌
 
yan nimewaza sana.huwez kukaa nchi ya kikomando kama cuba halafu uwe tu kizembe.who knows kama alijiunga na training ya marksman au hand to hand combat au intelijensia au kuzichezea zile glover au ak 47
Pole pole ni SMART sana , 100% hayupo TZ ila anawavuruga "MENO" waaanze kumtrace hapa TZ ili yeye aendelee kuwa comfortable uhamishoni.
 
Wenye akili ya kuunganisha dots walishtuka kwa yaliyomkuta Mrisho Mpoto wakati wa msiba wa mke wake (RIP)....shida huwa haziji kwa mkupuo, ni vipande vipande....hatimaye kitu pwaaa!
Endeleeni kukaza shingo ila Hadi huku kijijini upepo umegeuka mark my word!
Jana nilikua kijiji kimoja ndani ndani aisee?Nilishangaa sana kuona ile awareness ya watu kuhusu udhalimu wa CCM.Huu mwaka lazima kuna jambo litatokea,hasira ile ya wanakijiji ilikua ni balaa.Mama Samia kazi kubwa sana unayo nchi imekukataaa.
Namshauri asilazimishe madaraka.
 
Back
Top Bottom