Mh Polepole anawauliza hapa ni wapi?

Mh Polepole anawauliza hapa ni wapi?

Ha

Hakuna Siri Zaid ya umbea .usimuamin mwanasiasa
Tafasiri ya umbea ni ipi? Maana mtu akikupa habari ya kweli na wewe ikawa inakuathiri waweza kuita umbea tu lakini wenzako wanakuwa wamejua ukweli, hata ukijifariji inakuwa haijasaidia kitu
 
Aiseee huyu Kawa chizi
Mwache aendendee kua huru ila akitumia vibaya uhuru wake vibaya
Ataungana na lissu
Wewe ndiyo chizi kwani mtu kujificha kisa Polisiccm wanamsaka kumbambikia kesi ya Uongo ni uchizi? Kuwakwepa watesi watekaji waonevu ni uchizi?
 
Nilichogundua huyu baba anatamani akamatwe ili apate kiki zaidi.. anajioma kama mpango wake wa kubwabwaja hauleti impact aliyoitegemea na mambo yanazidi kusonga sasa anajitokeza ili angalau amake headlines

Dear Jamhuri polepole ni wa kupuuzwa wala asitafutwe aendelee na press zake huku siku zinaenda atanyamaza mwenyewe
Kumbe kama umemuona Pole Pole kwenye engo ya kubwabwaja, nakiri watanzania tuna akili finyu na kupambania mabaya yanayofanywa na watawala itachukua muda sana.

Wengi wetu tuna uwezo mdogo wa kuchakata yale yaliyosemwa na Pole Pole.
 
Pole pole anatapa tapa tuu Hana jipya, hii nchi huwez kupata mabadriko Kwa kutegemea hawa wanachi, hii nchi nguzo ya mabadriko ipo kwenye defence , sehemu ambayo CCM ndo wamelalia
Hapo ni wapi?
 
wewe unafikiri njia za kidemokrasia zinaweza? Angalia tu kule Nchi ya Zanzibar wajuzi wanasema CCM haijawahi kushinda kule
Mkuu gheshi letu nalo limekaliwa na majitu yanayitafuta fursa! Ujinga mtupu! Yanaweza yakistaafu yapewe vijiwe! Salute sana kwa West Africa, huu ujinga hawakubali!
 
Kama Polepole ndio speaker yao ni bora aache huu utoto wa kutaka kushindana na chawa wanaotaka kumtoa pangoni.

Aijalishi anaongelea kutokea mafichoni akiwa Kenya, Norway au hata Samora Avenue. Mradi ujumbe wake unafika kwa walengwa.

Siku akikamtwa na movement yenyewe inaonekana kwisha habari yake, ahitaji ku-prove wrong kiki za taahira kam Tivu ake na chawa wengine wa CCM wenye akili ya kisoda.
 
Pole Pole ametoka CUBA ,anavuruga tu hapo ,kumbe hiyo clip usikute alirecord mwaka 2024.
Yupo hapo Dar lakini Polisiccm wanamwinda wamubambikie kesi kama Lisu ndiyo maana kaamua kujificha
 
Wakuu wa majeshi wanapata pension Nono, wanajengewa nyumba, wanapewa V8 kama zawadi ya kustaafu.

Hii ni hongo inayokwenda kwa 5% ya top cream jeshini. MkiSubiri jeshi lichukue nchi mtasubiri sana. Hawa wakubwa wanalinda hongo zao.
Wanao kinukisha sio Wakubwa ni wale wadogo
 
Hapo ni Nyerere square Dodoma buana Polepole akiwa ameenda kununua juice baada ya kikao cha kuchambua majina ya wagombea ndani ya CCM ukimuondoa mkuu wao ambaye yeye alijichambua mwenyewe.
 
Polepole unapoteza muda na credibility yako!
Rais Samia anagombea tena muhula mmoja kwa mujibu wa Katiba ya JMT.
Na wala Katiba ya CCM na utamaduni wa CCM haviwezi kuwa juu ya Katiba ya Nchi.
Hujui chochote kuhusu sheria .
Huna haja ya kutembea usiku kama mnyama karunguyeye, tumia muda wako vizuri kujifunza Sheria na hasa ukuu wa Katiba ya JMT yaani supremacy of the Constitution.
Kama polepole anapoteza mda ni kwa nini Polisiccm wanamwinda? ni kwa nini walienda kwake kwa dada yake na kwa mama yake? Acheni mipango ya kumbambikia kesi ya Uongo kama ya Lisu atajitokeza tu
 
Back
Top Bottom