King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 60,407
- 88,699
Hayupo Dar wala TZ.Yupo hapo Dar lakini Polisiccm wanamwinda wamubambikie kesi kama Lisu ndiyo maana kaamua kujificha
Hayupo Dar wala TZ.Yupo hapo Dar lakini Polisiccm wanamwinda wamubambikie kesi kama Lisu ndiyo maana kaamua kujificha
Kweli wewe kichwapazi, kwa hiyo wewe unajua kudai uhuru ni kujikojolea tu?Kwa hiyo Polepole na yeye anadai uhuru?
Alisema yupo KIBAHA kwa Mathias!Pole pole ni SMART sana , 100% hayupo TZ ila anawavuruga "MENO" waaanze kumtrace hapa TZ ili yeye aendelee kuwa comfortable uhamishoni.
We naye bwana! ..Kwa hiyo unahisi jeshi likichukua nchi utaweza kuwa hata keyboard hero hapa jf? Hapa ni kupigania katiba ibadilishwe...jeshi likichukua nchi halafu tuishi kama Korea kaskazini..tupangiwe mda wa kulala..tupangiwe staili ya kunyoa AU HuJuI maana ya kuishi under military occupation
Ndiyo kashindwaHuu uchochezi kaka kwani mama kashindwa?
daahPole pole ni SMART sana , 100% hayupo TZ ila anawavuruga "MENO" waaanze kumtrace hapa TZ ili yeye aendelee kuwa comfortable uhamishoni.
Kwa taarifa ya kaka yake amesema kwamba alirudi TZ mwezi mmoja uliopita.daah