Mh Polepole anawauliza hapa ni wapi?

Mh Polepole anawauliza hapa ni wapi?

Hotuba ya kwanza ya Samia bungeni alipiga Marufuku na alifanya kitisho kujadili any conspiracy yoyote inayohusu kifo cha Magufuli na mjadala wowote unaohusu Mstaafu fulani kuhusika...

Polepole leo amezungumzia jambo hatari kwa maisha yake na future ya Kisiasa na Washirika wa Kikwete na Samia.

Assad alivopinduliwa Waasi walienda kuchoma na kuharibu kaburi la baba yake na Assad, kwa kiasi kikubwa naona hili kwenye andiko la CCM
 
Vigumu sana kwani polepole ana watu huko na ccm wengi wapo nae kimya kimya
"Ghost fans" wala siyo wa kuwaamini,subiri muda utaongea!

Bongo unafiki ndiyo kwao!
 
Kwa watu wanaomsema Polepole hakuna barua wala neno la Rais kujibu hoja wala kutengua ubalozi wake, hata nafasi yake haijajazwa kwa maana nyingine Samia Bado ana mashaka na Urais wake.

Waziri alipoulizwa alisema jambo la Polepole liko nje ya paygrade yake, ni issue ya mamlaka za Juu
 
Wakuu wa majeshi wanapata pension Nono, wanajengewa nyumba, wanapewa V8 kama zawadi ya kustaafu.

Hii ni hongo inayokwenda kwa 5% ya top cream jeshini. MkiSubiri jeshi lichukue nchi mtasubiri sana. Hawa wakubwa wanalinda hongo zao.
 
Establishment yoyote haijawahi kuhitaji kubadirisha status quo... Disadvantaged ndio wanawaza kubadirisha situation, na hiyo utegemea sana utayari wa walio wengi...5% nahisi ni ndogo sana iwapo % iliyobaki wakiamua.
 
Jeshi lenyewe limemilikiwa na machoko,madada poa,vibaka,wabakaji,matapeli n.k zote zenye sifa mbaya.bado mnasubiri wachukue nche kweli?🤣🤣🤣
 
Pole pole anatapa tapa tuu Hana jipya, hii nchi huwez kupata mabadriko Kwa kutegemea hawa wanachi, hii nchi nguzo ya mabadriko ipo kwenye defence , sehemu ambayo CCM ndo wamelalia alaf Pole pole haya mambo ya reform no elect hata Hana mpango nayo nyie tuu ndo mnamvisha , yeye kesi yake Samia asigombee kupitia CCM
yeye kesi yake Samia asigombee kupitia CCM

Hili ni wengi wanalitaka, hata wapenda reform...
 
Pole pole anatapa tapa tuu Hana jipya, hii nchi huwez kupata mabadriko Kwa kutegemea hawa wanachi, hii nchi nguzo ya mabadriko ipo kwenye defence , sehemu ambayo CCM ndo wamelalia alaf Pole pole haya mambo ya reform no elect hata Hana mpango nayo nyie tuu ndo mnamvisha , yeye kesi yake Samia asigombee kupitia CCM

Unless anafanya kazi na hao watu wa defence...ni ngoma ya kitoto ambayo huwa haikeshi. Ninahisi, kuna walio nyuma. Wako serious kiasi gani, muda utaongea
 
Back
Top Bottom