Elections 2010 Mh. MDEE TEKELEZA AHADI ZAKO WANANCHI HATUKUELEWI AISEE

Bado ni mapema mno kuanza kuangalia utendaje wa Mdee kama unafaa au la!
 
Acha kutoa povu kijana, sasa kama Rita hakufanya basi na Halima asifanye, sasa mabadiliko yalikuwa na umuhimu gani?..

mkuu serikali inakopa fedha za kulipa mishahara hivi hizo pesa za miradi kama barabara zitapatikana wapi?
 
Yani kiherehere tu! kwani wewe ndio msemaji wa wanakawe?? Naona una chuki binafsi na Mdee pamoja na chadema, hivi wewe si usubiri kwenye bunge la bajeti 2011/2012 kama hatatetea jimbo lake kwa ku pinpoint hayo matatizo yenu.

Nilijua utakuja tuu, lols

PM yangu umeipata, hapa Rio Connection mbaya sana sikuwa sure kama umeipata au la.
 
Mhhh...kwa uelewa huu,unafanya kazi gani D.C? Au labda ni signature tuu,sorry. Na pia najaribu kujiuliza ulikua unaongea nini na wawekezaji siku hiyo Hilton,au labda ulikua dereva wao?
Mkuu endapo kazi ya JIMBO la KAWE imewashinda wataweza kuachiwa dola hawa, hametuaminisha kupitia mtihani mdogo wa JIMBO LA KAWE kuwa kazi hawaiwezi.
 
AHADI za Mkwe.re - ALIITOA AKIWA WAPI...

  1. Kujenga reli mpya kutoka Dar es Salaam mpaka mikoa ya Kanda ya ziwa - Nzega, Tabora
  2. ......
  3. .....



kwahiyo mchungaji unataka uniambie Mdee hatekelezi ahad mpaka uliye mtaja hapo juu atekeleze? Mchungaji nadhani umeenda mbali sana kwa jamaa yeye anamuuliza mbunge wake juu ya ahadi hiyo. halafu mchungaji nakujua kabisa wewe uliyemnukuu hapo juu hata angefanya nini humkubali sasa iweje unamlinganisha mpambanaji na mtu usiyemuamini? Mie nilifikiri unamlinganisha na mbunge fulani ktk timu ya wapambanaji. Siasa ni zaidi ya kuongea kwenye majukwaa.Huo ni mfano kuwa hata kama mngepata kuongoza serikali still ingekuwa the same.
 
Mhhh...kwa uelewa huu,unafanya kazi gani D.C? Au labda ni signature tuu,sorry. Na pia najaribu kujiuliza ulikua unaongea nini na wawekezaji siku hiyo Hilton,au labda ulikua dereva wao?

Mkuu Mshindo heshima mbele,

Maslahi ya Taifa letu ndiyo jukumu letu la kwanza watu wengine, vitendo tu na si kujificha nyuma ya monitors.

Vipi msharaha umeshaingia, ndiyo tarehe zenyewe hizi.

Bwa...ha ha ha ha
 
Mkuu endapo kazi ya JIMBO la KAWE imewashinda wataweza kuachiwa dola hawa, hametuaminisha kupitia mtihani mdogo wa JIMBO LA KAWE kuwa kazi hawaiwezi.
Wewe huwa unasoma msitari wa kwanza then unakimbilia kujibu.....
 
Mkuu funds zipo nazikuwa na zimetengwa tayari kwa kazi hizo..tatizo ni ufuatiliaji.

Kumbe tatizo siyo Mdee bali ni watendaji wa halmashauri ndo wabovu, kwa nini mpaka wafuatiliwe kwani hawajui wajibu wao? Permanent solution ni kuiondoa madarakani serikali isiyo wajibika.
 
Rita Mlaki alifanya nini? Miaka 5 aliyokaa pale

alijiuzia sehemu ya eneo la tanganyika pekazi na kumhamishia Ngurumo ya upako kwenye viwanja vile na kabweteka hataki kutafuta na kujenga pa kwake.
Mdee hakika unawaliza wana kawe kwani wanatozwa pesa za taka wamesha kulalamikia wala hujawasaidia lolote au watoza pesa una ubia nao?
 
Yaani kujitetea kwa namna hii ni kwa kitoto saana. Mbona fulani kafanya hivi??? Ukweli Mdee hana uwezo wa kujenga barabara isipokuwa kuishauri na kuishawishi serikali juu ya umuhimu wa barabara ile.

Sasa kumbe una majibu, msaidiae kuishauri serikali.
 
AHADI za Mkwe.re - ALIITOA AKIWA WAPI...

  1. Kujenga reli mpya kutoka Dar es Salaam mpaka mikoa ya Kanda ya ziwa - Nzega, Tabora
  2. Mkoa wa Tanga kuwa Jiji la Viwanda - Tanga mjini
  3. Tabora kutumia maji ya Ziwa Victoria - Igunga
  4. Kulipa madeni ya chama cha Ushirika mkoa wa Shinyanga (SHIRECU) - Shinyanga
  5. Kumaliza migogoro ya Ardhi nchini - Dodoma
  6. Wakulima kuacha kutumia jembe la mkono - Dodoma mjini
  7. Kuwapatia trekta wakulima - Kata ya Mrijo, Dodoma
  8. Wananchi kutoondolewa kwenye Ranchi ya Misenyi - Kagera
  9. Kujenga Uwanja wa Ndege Misenyi - Kagera
  10. Kupanua Uwanja wa Ndege Bukoba - Bukoba Mjini
  11. Kujenga uwanja wa ndege mkubwa Kigoma - Kigoma Mjini
  12. Mtukula kupatiwa umeme kutoka Uganda - Kagera
  13. Mikoa ya Kagera, Kigoma, Lindi, Rukwa na Ruvuma kuunganishwa katika gridi ya taifa ya umeme - Kagera
  14. Kuimarisha Takukuru kwa miaka mitatu - Kagera
  15. Hukumu kwa waliopatikana na hati ya kuua albino - Mbeya
  16. Kununua meli kubwa kuliko MV Bukoba - Kagera
  17. Kuanzisha benki ndogondogo kwa ajili ya wajasiriamali
  18. Serikali kuvisaidia vyama vya ushirika - Mwanza
  19. Kuimarisha usalama Ziwa Victoria na Ziwa Tanganyika kwa kupeleka kikosi maalum chenye vifaa kupambana na wahalifu - Mwanza
  20. Wilaya ya Geita kuwa hadhi ya mkoa Januari mwakani - Geita
  21. Kulinda muungano kwa nguvu zote - Pemba
  22. Kuwajengea nyumba waathirika wa mafuriko Kilosa - Morogoro
  23. Kununua meli mpya kubwa Ziwa Nyasa - Mbeya mjini
  24. Kujenga bandari Kasanga – Rukwa
  25. Kumaliza tatizo la walimu miaka mitano ijayo - Songea
  26. Kufufua mgodi wa makaa ya mawe Kiwira - Mbeya
  27. Kuzuia hatari ya kisiwa cha Pangani kuzama - Tanga
  28. Kununua bajaji 400 kwa ajili ya kubeba wajawazito hasa vijijini - Iringa
  29. Kujenga barabara yenye kiwango cha lami kutoka Same mpaka Kisiwani – Kihurio na kuiunganisha na barabara kuu ya Moshi - Dar es salaam - Same mkoani Kilimanjaro
  30. Kumaliza tatizo la maji katika wilaya ya Same - Same Mjini
  31. Kuboresha barabara za Igunga - Tabora
  32. Kusambaza walimu 16,000 katika shule za sekondari zenye upungufu makubwa wa walimu - Kisesa Magu
  33. Kununua vyandarua viwili kwa kila kaya - Mbeya Mjini
  34. Kuzipandisha hadhi hospitali maalumu saba nchini kuwa za rufaa ili kuipunguzia mzigo Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MHN) - Hydom Manyara
  35. Kulinda amani nchini kwa kuzuia chokochoko za kidini, kikabila na kisiasa - Musoma
  36. Kulinda haki za walemavu - Makete
  37. Kujenga baabara ya Njombe - Makete kwa kiwango cha lami,urefu wa kilomita 109 - Iringa mjini
  38. Kujenga barabara Musoma – Mto wa Mbu Arusha - Arusha
  39. Kuanzisha jimbo la Ulyankulu- Shinyanga Mjini
  40. Kujenga barabara ya lami Manyoni-Kigoma – Kaliua,Tabora
  41. Kukarabati barabara ya Arusha Moshi - Arusha Mjini
  42. Kuboresha barabara ya Handeni, Kondoa, mpaka Singida - Dodoma
  43. Kuwafidia wanakijiji ng’ombe waliopotea wakati wa ukame mwaka 2009 - Longido
  44. Vijiji vyote vilivyoko kilomita 15 kutoka kwenye bomba kuu la mradi mkuu wa maji wa Ziwa Victoria - Shinyanga-Kahama kuunganishiwa maji - Shinyanga
  45. Tatizo la umeme kufikia kikomo Novemba mwaka huu mkoani Arusha – Arusha mjini
  46. Kukopesha wavuvi zana za kilimo - Busekera, Wilaya ya Musoma
  47. Kuwapatia maji wakazi wa Wilaya ya Longido - Longido
  48. Kujenga barabara ya lami kupitia pembezoni mwa Hifadhi ya Taifa ya Seregenti – Ngorongoro
  49. Utekelezaji wa mpango wa maendeleo ya kilimo kuwasaidia wafugaji kuweza kupata na kutunza mifugo yao vizuri - Mbulu mkoani Manyara
  50. Kusambaza maji nchi nzima - Babati vijijini
  51. Kusambaza umeme, utoaji wa huduma za afya, na uboreshaji wa kilimo cha umwagiliaji na utoaji ruzuku kwa wakulima. mwaka 2010-2015 - Babati vijijini
  52. Kuongeza mara tatu idadi ya wananchi wanaonufaika na ruzuku ya pembejeo za kilimo kwa mfumo wa vocha - Iringa
  53. Kuhakikisha Isimani inapata maji ya uhakika - Iringa
  54. Kuiwekea lami barabara inayokwenda katika Hifadhi ya Taifa ya Ruaha, ambayo ndiyo hifadhi kubwa kuliko zote Tanzania - Iringa
  55. Kulinda usalama wa wananchi kwa ujumla ili kudumisha amani na sifa ya nchi -Ifunda
  56. Kutokomeza malaria 2015 - Bunda, mkoa wa Mara
  57. Kuwapa wanawake nafasi zaidi - Kilolo, Iringa
  58. Ahadi kuisadia Zanzibar kuendeleza miradi mbalimbali ya kijamii - Kibandamaiti Mjini Zanzibar
  59. Kuipandisha hadhi hospitali ya Mnazi Mmoja Zanzibar kuwa ya rufaa - Kibandamaiti mjini Zanzibar
  60. Kuisaidia Zanzibar kila panapohitajika msaada - Kibandamaiti
  61. Serikali kujenga upya bandari ya Mbambabay - Ruvuma
  62. Ununuzi wa Meli mpya yenye uwezo wa kubeba tani 400 - Mbambabay Ruvuma
  63. kufufua chama kikuu cha ushirika cha wakulima wa Mbinga (MBICU) – Ruvuma
  64. Ahadi Rais wa Marekani Barack Obama kuimwagia misaada Tanzania – Ruvuma
  65. Ahadi hakutakuwa na umwagaji wa damu baada ya uchaguzi-Dar es Salaam
  66. Mtwara kuwa mji wa Viwanda – Mtwara
  67. Ahadi ujenzi wa kwanda cha dawa ya kuua viluilui vya mbu - Kibaha
  68. Hospitali ya Tumbi kuwa ya mkoa - Kibaha
  69. Halmashauri ya manispaa ya Kibaha kutenga eneo maalumu la viwanda - Kibaha

huna akili wewe. unaambiwa mdee wewe unamuongelea kikwete; Pambaf..ungekaa kimya na copy and paste yako hiyo
 
Tuwaunge mkono CHADEMA tuwaondoe hawa Magamba halafu tuhoji vitu kama hivi vinginevyo itakuwa ngumu sana.
-sijui Halima ana madiwa wangapi + wenyeviti wa vitongoji..
-serikali haina pesa huku Arusha wanajeshi wengi hawaendi kazini magari yao hayana mafuta sasa sijui kama serikali inapesa za kujenga barabara wakati hata mishahara ni pesa za kukopa au alisema atajenga kwa pesa yake.

kiinachokusumbua si upungufu wa akili bali ni MUENDELEZO WA CHUKI wa chama kileeee...ebu angalia rangi za avatar yako utaelewa nnachomaanisha
 
Back
Top Bottom