Mh. Mbilinyi (Sugu) alipuka bungeni

Nashauri wabunge wetu wazitumie dakika 5 vizuri wasiwe emotional! Waachane na Mwigulu hana maana!
So far nadhani wanazitendea haki dakika zao.
Hakuna namna ya kuzitumia vizuri bila kuwachanachana hawa wapumbavu.
Hata ukisema kipi, kwa busara ipi, kuboresha bajeti haisaidii kitu.
Mwishoni wapo kina "Naunga Mkono Mia kwa Mia"
Mwacheni Sugu awachane, na wengine ungeni tera!
 
Halafu huyu speaker anaendesha mambo kishabiki kabisa...

Sugu kasema serikali na akina Mwigulu ni wapumavu,

Na Kigwangala kasema CHADEMA ni wapuuzi...

Pamoja na Speaker kuingilia kati hotuba ya Mbilinyi, hakusema lolote wakati Kigwangala anamwaga matusi..

Hali hii inakera sana..
wote tunaangalia, Sugu aliposema Mwigulu ni mpumbavu, Mwigulu akasema taarifa mh spika.

Spika amesema hakuna cha taarifa.
Mi nadhani ngoma iko draw mpaka saa hii.
 
M4C yamtisha Kigwangalla, amesema CHADEMA wakienda jimboni kwake ataliomba jeshi la polis liwadhibiti.

polisi wakishindwa anawashawishi wananchi, wananchi wakishindwa anawadhibiti mwenyewe.

hivi huyu anauwezo wa kuwazuia CHADEMA kweli.? ikiwa Bashe tu, anamnyima usingizi.!!
 
CCM woyte ni wapumbavu wakiongozwa na pumbavu namba moja-Sugu kawanyea barabara hao CCM
 
So far nadhani wanazitendea haki dakika zao.
Hakuna namna ya kuzitumia vizuri bila kuwachanachana hawa wapumbavu.
Hata ukisema kipi, kwa busara ipi, kuboresha bajeti haisaidii kitu.
Mwishoni wapo kina "Naunga Mkono Mia kwa Mia"
Mwacheni Sugu awachane, na wengine ungeni tera!

nimeipenda hii.!!
 
CHADEMA tusikubali kuwa provoked, tujikite kwenye maswala, tuache kujadili akina Mwigulu wananchi hawawasikilizi akina mwingulu na nyie wapuuzeni, mjikite kwenye hoja, msijadili watoe hoja!
 
Ivi kazi ya mibunge ya CCM ni kuisemea serikali au kuwakilisha kero za wananchi? Hovyo kabisa!
 
Hoja yake imesaidia vipi kuboresha bajeti ya Waziri Mkuu?

Bunge sio Rock Concert, mbunge akiongea akimaliza inabidi kuwe na input alizoweka. Ukiona mbunge kamaliza halafu kinachojadili ni kwamba "kamchana Mwigulu" ujue kuna walakini.

Kwa miaka 50 ya uhuru bajeti ya waziri mkuu imesaidia nini kuboresha maisha ya mtz?
 
Back
Top Bottom