So far nadhani wanazitendea haki dakika zao.Nashauri wabunge wetu wazitumie dakika 5 vizuri wasiwe emotional! Waachane na Mwigulu hana maana!
yeah, since you're the one who knows his manhood, we can't discount your statement.
wote tunaangalia, Sugu aliposema Mwigulu ni mpumbavu, Mwigulu akasema taarifa mh spika.Halafu huyu speaker anaendesha mambo kishabiki kabisa...
Sugu kasema serikali na akina Mwigulu ni wapumavu,
Na Kigwangala kasema CHADEMA ni wapuuzi...
Pamoja na Speaker kuingilia kati hotuba ya Mbilinyi, hakusema lolote wakati Kigwangala anamwaga matusi..
Hali hii inakera sana..
Wa
wana hasira kwa mwigulu kumsema mbowe,hadi wamechanganyikiwa.
Kigwa naye kawachana live kwamba ni wapuuzi,huh?
CHADEMA ni genge la wahuni.
Mwigulu amewashika pabaya ndio maana wanatukana. Mwigulu is the man
So far nadhani wanazitendea haki dakika zao.
Hakuna namna ya kuzitumia vizuri bila kuwachanachana hawa wapumbavu.
Hata ukisema kipi, kwa busara ipi, kuboresha bajeti haisaidii kitu.
Mwishoni wapo kina "Naunga Mkono Mia kwa Mia"
Mwacheni Sugu awachane, na wengine ungeni tera!
mwigulu ndiyo rais 2015 <<<<<<<< mtakoma
Mwigulu amewashika pabaya ndio maana wanatukana. Mwigulu is the man
Marais wapo wengi labda wa matejamwigulu ndiyo rais 2015 <<<<<<<< mtakoma
Hoja yake imesaidia vipi kuboresha bajeti ya Waziri Mkuu?
Bunge sio Rock Concert, mbunge akiongea akimaliza inabidi kuwe na input alizoweka. Ukiona mbunge kamaliza halafu kinachojadili ni kwamba "kamchana Mwigulu" ujue kuna walakini.