Inawezekana ukawa bonge la mjinga kulko unavyofkiri,kwa mawazo yako uanadhani hata wapinzani wangekuwa na hoja gani nzuri hawateweza kubadili mawazo ya wendawazimu wengi ndani ya bunge kupitisha upuuz wao,jiulze hata wewe uliwahi kuskia wapi mtu akapanga bajet ya milioni moja wakati mkononi ana laki moja kama sio serkali ya ccm?
Mwigulu amewashika pabaya ndio maana wanatukana. Mwigulu is the man
Hoja yake imesaidia vipi kuboresha bajeti ya Waziri Mkuu?
Bunge sio Rock Concert, mbunge akiongea akimaliza inabidi kuwe na input alizoweka. Ukiona mbunge kamaliza halafu kinachojadili ni kwamba "kamchana Mwigulu" ujue kuna walakini.
Akichangia
bungeni,mheshimiwa Joseph Mbilinyi 'sugu' amemchanachana Mwigulu kuwa ni
mpumbavu,anafanya dili alafu anatumia m-pesa,akaendelea na waziri wa
elimu Mulugo kuwa ana elimu ya kuungaunga na ni chenga tupu,akadai
usalama wapo badala ya kumueleza rais kuwa jamaa huyo ni chenga tupu,wao
wanakalia kuifuatilia Chadema na kung'oa watu kucha na meno. Pamoja na
kukalishwa mara mbili na spika ili atumie lugha ya staha bado aliendelea
na baada ya kumaliza kuna wabunge kadhaa walisikika wakitaka kutoa
taarifa ila spika kawapotezea akamwita mchg.Natse aendelee
kuchangia.
Leo bwana Lameck Madelu Mkumbo umeamua kila kinachokuzungumzia humo vipi lakini unajisikiaje kwa kushabikia upumbavu
Pia ukiona mbunge kaacha kujadili bajeti na " kaanza kuwachana chadema" ujue kuna hitilafu katika mfumo wake wa common senseHoja yake imesaidia vipi kuboresha bajeti ya Waziri Mkuu?Bunge sio Rock Concert, mbunge akiongea akimaliza inabidi kuwe na input alizoweka. Ukiona mbunge kamaliza halafu kinachojadili ni kwamba "kamchana Mwigulu" ujue kuna walakini.
Lilikugeuza nini?CHADEMA ni genge la wahuni.
Mwigulu amewashika pabaya ndio maana wanatukana. Mwigulu is the man
Mwigulu amewashika pabaya ndio maana wanatukana. Mwigulu is the man
Lilikugeuza nini?
Unajua nini? Siasa za majukwaani hawaziwezi tena. Wamegeuza bunge kuwa jukwaa lao la siasa.
Wa
wana hasira kwa mwigulu kumsema mbowe,hadi wamechanganyikiwa.
Kigwa naye kawachana live kwamba ni wapuuzi,huh?
Wakati akichangia bajeti ya PM, Mh Mbilinyi ametumia lugha kali sana dhini ya serikali na Mwigulu Nchemba akazua ubishi mkubwa kati yake na Speaker..
Ameanza kwa kusema kuwa "Mwanamke mpumbavu huvunja nyumba yake mwenyewe" na hivyo hivyo serikali pumbavu hubomoa nchi.
Akasema kuwa walimnyanyapaa Mbatia na hoja yake ya Elimu na kukumbatia wapumbavu kama akina Mwigulu; na sasa matokeo ya Form 4 2012 yamewaumbua.
Amelaumu usalama wa Taifa kwa kushindwa kumshauri Rais hadi akamteua waziri wa elimu mwenye elimu ya kuunga unga.
Alipotakiwa kufuta neno upumbavu alikataa kata kata...
Amemtukana mwiguru kuwa ni mpumbavu.
Hizi bange bwana.
Na kama spika asingemzuia nchemba kutoa taarifa tungeshuhudua senema ingine maana mwiguru si mchezo kwa maneno.