Mh. Mbilinyi (Sugu) alipuka bungeni

Sasa muhuni Kama sugu si Ainu kabisa kwa Watusi wa mbeya, huwezi Kuwa mbunge halafu utumie kodi kutukana bungeni....shame on u
 
Hoja yake imesaidia vipi kuboresha bajeti ya Waziri Mkuu?

Bunge sio Rock Concert, mbunge akiongea akimaliza inabidi kuwe na input alizoweka. Ukiona mbunge kamaliza halafu kinachojadili ni kwamba "kamchana Mwigulu" ujue kuna walakini.

iinchi inaelekea pabaya....mambo ya bungeni yameshakuwa ni kujadili ccm na chadema
 

Watu kama wewe kule kwetu Old Moshi ni wanywa dadii na banana. Kwasababu hata mtu unywe album/vitochi vya mbege vingi namna gani, huwezi kuwa na akili ya namna hii.

Unahitaji kuombewa misa ya wafu parokiani au kigangoni.
 
Ni kiongozi gani wa CHADEMA aliyewahi kujiwajibisha/kuwajibika? Unaifahamu elimu ya Mh. Mbowe?

elimu ya mbowe inalihusuje taifa?ukisema ivo je unaifaamu elimu ya jk?ya kawamwbwa?ya lukuvi?zooote si za wale wale???
 
Mimi si mtabiri lakini BUNGE HILI WATU WATAPIGANA AU KUTUKANANA MATUIS YA NGUONI KABISAAA,MTAMBUE KUWA BADO KUNA KIBAJAJ HAJAONGEA,BADO MDEE HAJAZUNGUMZA,BADO JJ MNYIKA,BADO SILINDE
 
Mhe.Sugu leo nimeamini waliokuita sugu hawajakosea...! Umenena ukweli kamanda wetu.

Tutayazoea tu maneno kama hayo, japo kwa sasa tunaona ni mageni masikioni mwetu! Huu ni utamaduni mpya wa kuzungumza na wapumbavu Bungeni!
 
Sugu my big brother at work!
Hata mimi nisingeweza kuzuia temper pale ninapokumbushwa mwenendo wa elimu ya nchi hii!
Liwalo na liwe!
 
Kweli kabisa dakika mbili za kutoa hasira!
Bunge linavoenda ndo sawasawa kabisa. Kama hupendi kamwambia spika aondoe hiyo ishu ya kuwapunguzia wapinzani nafasi za kuchangia. Nawashauri wabunge wangu wa CDM ukipata dakika zako tano, tatu toa hoja yako kwa makini, mbili maliza hasira zako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…