Mh. Lowassa na team reject

Mpitagwa

JF-Expert Member
Feb 10, 2012
2,339
1,119
WanaJF,
Hivi Lowasa atatupelekea wapi endapo ataunda serikali kwa kutumia hawa team Lowasa? Ukiwachunguza wote waliomstari wa mbele kwenye team Lowasa ni reject waJK.

Kati ya mawaziri 60 aliofukuza JK, 50 wapo team Lowasa. Kuna wakuu wa mikoa, wakuu wa wilaya na wataalam toka vitengo mbalimbali waliofukuzwa kipindi cha Kikwete ndoo wapo team Lowasa.

Je, akichaguliwa na kuwateua hawa reject kwenye nafasi mbalimbali, nchi itaenda? Kutakuwa na utendaji tunamsifia yeye kama mtu binafsi kwenye team yake tarajiwa?

Urais ni taasisi sio mtu mmoja. Hivyo kuna umhimu wa kutafakari juu ya hili.

Nawasirisha.
 
Mpitagwa

Atapata nafasi ya kugombea URAIS kwa vigezo vipi?

moja za sifa za mgombea urais

7. asiwe na hulka ya udikteta( Engineer manispaa Temeke, alifukuzwa kazi na lowassa hadaharani?)
 
Last edited by a moderator:
Atapata nafasi ya kugombea URAIS kwa vigezo vipi?

moja za sifa za mgombea urais

7. asiwe na hulka ya udikteta( Engineer manispaa Temeke, alifukuzwa kazi na lowassa hadaharani?)

Anaweza kupata mkuu, siasa za bongo sio hesabu kuwa eti ukikosea formula hupati jawabu sahihi
 
Anaweza kupata mkuu, siasa za bongo sio hesabu kuwa eti ukikosea formula hupati jawabu sahihi

Hapo shughuli ipo? kwa vigezo vile hana Sifa hata moja? maana sijaona sifa ya maamuzi magumu pale?

Ila kama unavyo sema, he can corrupt his path na akapita!! Pesa anayo
 
Tuanze na mawaziri, kati ya mawaziri 60 waliofukuzwa kipindi cha JK, wewe unawakumbuka nani na nani?

presidaa...............................EDWARD LOWASSA
PM......................................ROSTAM
Finance................................CHENGE

kamilisha list
 
presidaa...............................EDWARD LOWASSA
PM......................................ROSTAM
Finance................................CHENGE

kamilisha list
hiyo number tatu lazima taifa liuzwe!! hela hela hela by all means!!
 
yaani hapo ndiyo ameharibu halafu inakuwa kama hawakushtuka mapema manake wote waliondoka kwa matatizo kibao,halafu Ukawa watatumia udhaifu huo kumshambulia Lowasa mwisho wa siku atajaribu kuwabadilisha but will be too late
 
Mpitagwa

Wewe siyo reject?Wengi waliopatwa na matatizo katika utawala wa Kikwete waliponzwa na Kikwete mwenyewe,kwa hiyo ni haki kuchukizwa na Kikwete na kumwunga mtu mwingine mkono!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom