Mh. Lowassa na team reject

Mh. Lowassa na team reject

presidaa...............................EDWARD LOWASSA
PM......................................ROSTAM
Finance................................CHENGE
kamilisha list

presidaa...................... .........EDWARD LOWASSA
PM............................ ..........ROSTAM
Finance....................... .........CHENGE
Madini .................................. Ngeleja
NIshati................................. Karamagi (Nishati na Madini zitakuwa wizara mbili tofauti)
Mambo ya Ndani ................... NCHIMBI
KILIMO ................................ NDESAMBURU (CHADEMA)
 
Nchi ilipofika kwa sasa inahitaji Rais Dikteta...siyo Akina Membe hao...

Hey kwani Membe na yeye anaota urais? Mbona jimboni kwake Mtama anapumlia machine. CCM inahitaji nguvu ya ziada kama itamuweka Membe kugombea ubunge tena pale Mtama. CUF imekamilika vilivyo. Urais aliacha baada ya kuponea chupuchupu kuanguka uNEC.
 
presidaa...................... .........EDWARD LOWASSA
PM............................ ..........ROSTAM
Finance....................... .........CHENGE
Madini .................................. Ngeleja
NIshati................................. Karamagi (Nishati na Madini zitakuwa wizara mbili tofauti)
Mambo ya Ndani ................... NCHIMBI
KILIMO ................................ NDESAMBURU (CHADEMA)

Kilimo ni Nsanzugwanko Mkuuu. Ardhi anarudi Tibaijuka kama kawa.
 
Mpitagwa

Atapata nafasi ya kugombea URAIS kwa vigezo vipi?

moja za sifa za mgombea urais

7. asiwe na hulka ya udikteta( Engineer manispaa Temeke, alifukuzwa kazi na lowassa hadaharani?)
Mkurugenzi wa halmashauri Same alifukuzwa hadharani pia na nafasi kupewa Idd Juma ambaye alikuwa ameongozana naye tu kutoka tamisemi
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom