Mh. Lowassa na team reject

Mh. Lowassa na team reject

Wewe siyo reject?Wengi waliopatwa na matatizo katika utawala wa Kikwete waliponzwa na Kikwete mwenyewe,kwa hiyo ni haki kuchukizwa na Kikwete na kumwunga mtu mwingine mkono!
Mkuu Fafanua Waliponzwa Na Kikwete Vipi Yeye NDIO Aliwatuma Wafanye Madudu??? Tupe Ushahidi Sio HISIA ZA Uhusika wa JK.
 
Mimi pia ni reject na ndiyo maana sitafuti nafasi yoyote ya utumishi wa umma
 
Nakwambia kumpa Lowasa nchi ni sawa na kuruhusu VVU mwilini mwako.

Huwez ukapona katu!
 
Nakwambia kumpa Lowasa nchi ni sawa na kuruhusu VVU mwilini mwako.

Huwez ukapona katu!
Pia itakuwa taabu kweli, kwani barabara zote zitafungwa kuruhusu wale waliokuwa wakienda kumwomba kuchukua fomu watakapoenda kumpongeza chaguo lao!!
 
Tuanze kufanya comparison ... ZOKA Vs APSON ...? Sophia samba, Shelukindo, .
Mpitagwa

;
 
Last edited by a moderator:
Kwa ile nafasi ya Raisi wa TOT haijajazwa tangu tangu raisi wake muanzilishi aende msituni? Uraisi wa taasisi gani ambao Lowassa anautafuta?
 
Tuanze na mawaziri, kati ya mawaziri 60 waliofukuzwa kipindi cha JK, wewe unawakumbuka nani na nani?

1. A Chenge waziri mkuu.

2. Nazir Karamagi waziri wa fedha

3. Rostam Aziz waziri wa nishati na madini

4. Mustafa Mkullo Waziri wa kazi

5. Daniel Nswanzukwago Waziri wa utawala bora

6. Basil Mramba Waziri wa Viwanda

7. Goodluck Ole Medeye Waziri wa mifugo

8. Anna Tibaijuka Waziri wa Ardhi nyumba na makazi.

9. Pasco JF Waziri wa habari na msemaji mkuu wa serekali bungeni na JF.

10. Capt John Komba Waziri wa Ulinzi duh sorry huyu kasha tangulia mbele ya haki nafasi yake badoipo wazi.

11. Shelukindo Waziri wa Utumishi.

12. Hussein Bashe Wizara ya uhamiaji na uraia

13. Diana Chilolo Waziri wa ustawi wa jamii





Mbona wapo wengi
 
Chenge akiwa waziri mkuu nahama nchi
 
presidaa...............................EDWARD LOWASSA
PM......................................ROSTAM
Finance................................CHENGE


kamilisha list

Nishati na makini..........Karamagi

Utalii............. .Msabaha
 
Hakuna waziri aliyewahi kufukuzwa na jk hata mmoja. Mawaziri wote walifukuzwa na wananchi kupitia bunge. Sasa kama yeye anashirikiana na watu waliofukuzwa na wananchi kwa utendaji wake mbovu itakula kwake.
 
Nishati na makini..........Karamagi

Utalii............. .Msabaha

Usisaau ana serukamba pia ambae hajawai lamba ulaji pia ana mgeja anaetaka uwaziri wa mambo ya nje yaan naona kabisa nchi ikipotea kama tutampa huyo lowassa. Ila kwa kuwa najua UKAWA ipo vzr basi tutasheherekea ushindi saa nne asubui
 
naamini kwa utendaji makini wa hii team itaanzishwa rasmi wizara ya mikataba na uwekezaji wa nje aka minitry of contracts and foreign investments ambapo waziri hatakaa nchini bali ofisi yake itakuwa kwenye balozi zetu ili kurahisisha mchakato wa uingiaji na kusaini mikataba. teh teh teh na kamati ya kutengeneza nvua wazee duuu naina tz ikikaribia neema
 
Atapata nafasi ya kugombea URAIS kwa vigezo vipi?
moja za sifa za mgombea urais
7. asiwe na hulka ya udikteta ( Engineer manispaa Temeke, alifukuzwa kazi na lowassa hadaharani?)
Acha Injinia wa manispaa ya temeke
Hapa dodoma alifukuza wote waliokuwa wa Sumaye mpaka mpishi mkuu wa Waziri Mkuu mama Mganda
 
walifukuzwa kwa sababu gani?sio lazima uwekebandiko la lowasa ili mradi tu uongeejadili hata taifa stars labda upeo wako wa akili utakuwa mzuri huko zaidi

Wewe hujui hata tunaongelea nini, umekurupuka tu. Sababu za kuwafukuza anazijua vizuri aliyewateua na kuwafukuza. Ukweli ni kuwa walifukuzwa. Hoja hapa sio Lowasa hapa tunaongelea maslahi mapana ya nchi yetu endapo huyu bwana Akashinda urais. Chambua usishabikie


 
Atapata nafasi ya kugombea URAIS kwa vigezo vipi?

moja za sifa za mgombea urais

7. asiwe na hulka ya udikteta( Engineer manispaa Temeke, alifukuzwa kazi na lowassa hadaharani?)

Nchi ilipofika kwa sasa inahitaji Rais Dikteta...siyo Akina Membe hao...
 
Back
Top Bottom