Mh. Livingstone Lusinde Under Microscope?

Mh. Livingstone Lusinde Under Microscope?

Halafu jamaa yeye ndiyo "mshamba kweli" eti anauliza mtoto akizaliwa kwenye basi au ndege anakua raia wa wapi?!!!
With morons like these as our leaders this country will never go forward.

Mkuu kama taifa tuko njia panda, kuwa na mbunge wa aina ya Lusinde sio siri tunapotea njia kabisa
 
Mkuu, watu wengi huwa tunadhani kuwa usomi ndio kipimo cha mtu mwenye hekima na busara. Ni kweli mtu msomi licha ya kuheshimika katika jamii lakini pia anatumika kama mshauri katika masuala mbalimbali yakiwemo ya kitaaalamu au hata ya kijamii, pale itakapohitajika ushauri katika kupata suluhu iwapo kutatokea kusigishana katika jamii.

Lakini vidato pekee haviwezi kupambanua kiwango cha busara na hekima alizo nazo mtu. Na hii inatokana na jinsi wasomi wetu walivyofinyangwa kuanzia katika malezi mpaka huko mashuleni. Kama elimu ndiyo kipimo cha hekima na busara ni dhahiri kabisa leo kusingekuwepo na ufisadi na ubadhirifu ambayo hufanywa na wasomi wanaotegemewa. Kama elimu ndiyo kipimo cha hekima na busara ni dhahiri kabisa Halima Mdee asingesema kwenye mkutano wa hadhara kuwa Wassira ana sura mbaya kama ya sokwe mtu.

Kwa hiyo, Lusinde hakuhitaji kuwa msomi ili asimwage yale matusi. Alichohitaji ni hekima na busara tuu. Naamini kabisa mtu aliyeishia darasa la saba ana uwezo wa kuwa na hekima na busara ya kutoongea matusi ya aina ile hadharani tena kwenye mkutano wa kampeni za kisiasa.
Mkuu watanzania tumwombee huyu mbunge ili walau mungu ampe busara kidogo
 
[TABLE="class: arc90_altrows-Blue"]
[TR]
[TD="bgcolor: #b3d5e6, colspan: 4"]WILAYA YA CHAMWINO[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: #b3d5e6, colspan: 4"]MTERA[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 30%, bgcolor: #b3d5e6"]Candidate[/TD]
[TD="width: 20%, bgcolor: #b3d5e6, align: center"]
Political Party
[/TD]
[TD="width: 20%, bgcolor: #b3d5e6, align: center"]
Number of Votes
[/TD]
[TD="width: 15%, bgcolor: #b3d5e6, align: center"]
Percentage Votes
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 30%"] LUSINDE JOSEPH LIVINGSTONE [/TD]
[TD="width: 20%"]
CCM
[/TD]
[TD="width: 20%"]23,612[/TD]
[TD="width: 15%"]80.02[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 30%"] LAMECK JOHN LUBOTE [/TD]
[TD="width: 20%"]
CHADEMA
[/TD]
[TD="width: 20%"]4,520[/TD]
[TD="width: 15%"]15.32[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 30%"] NGOMOKA THOMAS JOSEPH [/TD]
[TD="width: 20%"]
CUF
[/TD]
[TD="width: 20%"]389[/TD]
[TD="width: 15%"]1.32[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 30%"] MAGOYE CHIHANGA STEPHENI [/TD]
[TD="width: 20%"]
NCCR-MAGEUZI
[/TD]
[TD="width: 20%"]30[/TD]
[TD="width: 15%"]0.1[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 30%"] CATHERINE MHANDO NKALULWA [/TD]
[TD="width: 20%"]
UDP
[/TD]
[TD="width: 20%"]16[/TD]
[TD="width: 15%"]0.05[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 30%"] [/TD]
[TD="width: 20%"] [/TD]
[TD="width: 5%"] [/TD]
[TD="width: 15%"] [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 10%"]SPOILT VOTES[/TD]
[TD="width: 20%"] [/TD]
[TD="width: 20%"]939[/TD]
[TD="width: 15%"] 3.18 [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 10%"]TOTALS[/TD]
[TD="width: 20%"] [/TD]
[TD="width: 20%"] 29,506[/TD]
[TD="width: 15%"][/TD]
[/TR]
[/TABLE]
 
mnaona sasa?
kumbe aliwahi kuwa NEC ya CHADEMA?
na alianzia CUF pia....

ha haaa ilikuwaje CHADEMA wakamuingiza NEC yao mtu kama huyu?
Rudi katongoze kule mmu, hapa waachie watu wazima waongee siasa!
 
Alikuwa anajaribu kuteka hadhira.
 
sidhani kama kuna mtu wachadema aliwahi toa matusi hayo hadharani, inasemekana kuna picha za Mgombea wa CCM zimetengenezwa na kuwekewa heleni, aliyetengeneza yawezekana ni wana CCM wenyewe si wajua wanavyolimana?


Mkuu ingawa yale maneno yalikuwa makali kiaina fulani lakini ilionekana kama anajibu mapigo ya upande fulani, sasa kwanza kabla ya kumjadili Lusinde tujiulize kama ni kweli yale aliyoyaita majibu kuwajibu baadhi ya viongozi wa CDM yalitamkwa na hao viongozi?
Kimsingi kama ni kweli yupo mweshimiwa wa CDM aliyesema SIOI ni shoga ilikuwa haijatulia, wakati tunajadili haya lazima tukiri kuwa wapo baadhi ya viongozi katika vyama vya siasa wasiotofautisha kati ya mitaani/vijiweni na kwenye kampeni.
 
[TABLE="class: cms_table_grid, width: 500"]
[TR]
[TD="align: center"]CHADEMA[/TD]
[TD="align: center"]Member - National Executive Board[/TD]
[TD="align: center"]1995[/TD]
[TD="align: center"]
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
Kumbe alipotoka CDM ndo akahamia CCM, basi tumeshajua wapi alikojifunza yale anayopractise!

Hebu soma tena uone alitokea wapi maana hujaelewa.

CCM Secretary - Tarime 2006-2010

CCM Assistant Secretary/Accountant
2006-2007

CHADEMA Member - National Executive Board 1995

CUF Secretary - Kawe
Constituency 1992-1995

CCM Secretary before 1992
 
Maana inabidi ujiulize na hao waliomchagua kuwa mmbunge wao kama wana akili timamu vilevile.

My take nikwamba kuna watu sehemu zingine za Tanzania wamechoka tena kusikia majina yale-yale kwenye chaguzi zao ilimradi yeyote mwenye kipaza sauti lakini si fualni.

Lakini kweli ameweza pita vipi kwenye kura za maoni huko chamani na hata kuja kuchaguliwa kwenye uchaguzi mkuu, kwakweli ignorance bado ni tatizo kubwa kwenye jamii yetu.

Inawezekana wajumbe walompitisha nao............, na kamati kuu ya ccm illmwidhinisha nayo............, n.k.....
 
Kilichonifurahisha zaidi ni pale anapokashfu Mimba!
wawawake wanamshangalia wakati anakashifu kuwa na mimba.
Kwa ubinadamu, lazima baadhi ya hao wanawake wana mimba!

The vicious circle continues...
 
Hakika hawajui akili ya baba yao vinginevyo wangeshamkana.
 
Darasa la saba Accountant. Ana CPA? Na kama hana ilikuwaje akafanya kazi za accountant? Si alikuwa amevunja sheria yeye na mwajiri wake? Nisaidieni nielewe
 
mkutano wa kampeni za ccm kata ya makiba

4.%2blivingstone%2blusinde%2baka%2bkibajaji%2bakihutubia%2bmakiba.jpg



mbunge wa mtera, mjumbea wa nec ya ccm, livingstone lusinde aka kibajaji akihutubia makiba. Angali watoto wadogo mbele yake. Picha kwa hisani ya: full shangwe: Mkutano wa kampeni za ccm kata ya makiba watia fora

huyu jamaa nadhani atakuwa na matatizo kidogo. Siamini kama hiki ni kichwa cha kiongozi na pia hata waliomchagua pia nina mashaka naye. So ccm wamekaa wakakubaliana kuwaa huyu ndo zimwi la chama na ndo mwenye karama ya hiki kinachofanyika. Pole nyerere uliacha wafu na si wanachama.
 
Mnamwandama kwa sababu ni Muislaam.............. Wagalatia bana.

Yaani umenilazimisha nichangie. Kuna watu wachache kila jambo wanatumia lensi ya udini kulichambua, na hasa wanalazimisha. Inaonekana wanalipwa vizuri sana
 
Hatumwandami kwa uislam wake ila tunayaandama maneno yake machafu anayoyatamka bila kujali yuko wapi na nani na wakati gani. Hilo halihitaji dini wala elimu ila common sense ONLY.
 
Wakati nasoma thread yenye hotuba yake, nilidhan ni masikhara ya mtoa maada! Daaaah! Naogopa kuamini, kwani ni aibu kubwa kwa mtu mzima! Au anavuta bangi??

Ni zaidi ya bangi.Mtu anaweza kuwa mvuta bangi na asionyeshe elements za UCHIZI.Bob Marley hakuwahi kutukana jukwaani kwa style ile.Huyu jamaa ni kichaa kama alivyojinadi mwenyewe.
 
Msimseme sana hii ndo tabia ya CCM wanamatusi sana, si kuna mwingine aliwatukana madaktari akasababisha vifo vya watu, na mwingine alishasema wanafunzi wanaopata mimba vihele hele vyao n.k.
 
Back
Top Bottom