Superman
JF-Expert Member
- Mar 31, 2007
- 5,695
- 1,696
- Thread starter
- #41
Hicho chuo in red wanafundisha nini?
Mkuu Mwasi
Hicho ni Chuo cha Chuo cha Vijana wa CCM kinaitwa Ihemi, kiko Wilaya ya Iringa Vijijini. Kinatoa mafunzo ya Ukada wa CCM kama mafunzo ya uongozi kwa wenyeviti na makatibu wa CCM wilaya zote za Tanzania Bara na Visiwani pamoja na wajumbe wawili kutoka wilayani nk.