Mh.Kagasheki: RPC Arusha awatorosha majangili

Mh.Kagasheki: RPC Arusha awatorosha majangili

Unajitia uendawazimu bule. Hujui Dr Slaa ni nani ktk nchi hii? Ishukuru jf imekupa sehemu ya kujitutumua kwa id fake. Tell us who you are? kama wewe siyo mganga njaa Lumumba.

Stop your nonsense! Waambie na wengine Lumumba. Dr.hata kama asingekuwa mwanasiasa bado kwa elimu na umri wake ulipaswa umheshimu lakini kwa kuwa siasa za tanzania zimevamiwa na wauza unga matokeo yake ndo kama wewe.

Na rudia tena, only genius should be involved in politics, should be in the forefront to lead others. Nimechoka na upuuzi wenu Lumumba....mnaandika ovyo ovyo...siasa zinaoneka za wenda wazimu which should be the contrary. Unauliza Dr Slaa ni nani?

Nani kakuambia nina mdharau dr? Kuongea maovu yake yakiwemo ya uzinzi yaliompatia watoto wawili Emiliana na Linus ni matusi? Huyu si ndo alimchukua mchumba wa mtu mama Rozi na kuzini nae akiwa ni padri? Je haya ni matusi? Vipi kuhusu tuhuma za kutembea na wake za madiwani kule karatu akiwemo mke wa Lazaro Titus Massay je mimi nimemtusi? Wewe unafaa kupuuzwa kama kikwete alivyompuuza huyu fisadi Slaa.DON BE CONCERN WITH OUR RUBBISH TAKE YOUR TIME DUDE.
 
kama waziri analalama mimi ntaongea nini?tatzo la nchi yetu ni double standardized law enforcement. Hapa tatzo letu sio law making, ni law enforcement. Tuna sheria nzuri sana ktk taifa ili ila zinapungua quality kwa nani anaitumia na inatumika kwa nani? Wakati mch. msigwa anawataja bungeni, waziri alikuwepo akisaidia wenzie kuzomea, leo analalama. Eti baraka za mkuu??wapi?walio karibu na mkuu ndo mastermind wa hao sasa waziri analalamikia. Ni hatua gani kachukuliwa mkuu wa TALL co. baada ya kukutwa na nyara?pole mh kagasheki ila hao wanaokunywa chai na aliyekutuma ndo wanaofanya izo kazi... Uchunguzi binafsi unaonesha kwa arusha si tour offices wanaomiliki dola za kigeni bali ni polisi na afisa wanyamapiri ndo wenye ma account makubwa ya fedha za kigeni ktk mabenki hapo arusha na nchini kwa ujumla. Fanyeni tafiti muone...Inaonekana hawa watu baada ya kuona kila mtu ana sharubu basi nao wameingia kuchukua chochote kwa faida yao...kwa arusha tuache sheria zifuatwe kwa ukamilifu kwa kuwafukuzia cdm, ila kwa kughusa maslahi ya mwkubwa hapo kagasheki utapasua kichwa bure, ila sikukatishi tamaa labda ndo utakomboa maliasili za taifa. All the best comrade.
 
Kagasheki ni mwongo kwa nini hajamkamata wakati anamjua? Shida ya viongozi wetu ni kulalamika tu waziri mzima labda Huyo mlalami kiwa ni mwana ccm ila ange kuwa wa chama tofauti mh! Angekuwa mfano
 
Tushasema sana kwamba adui wa nchi hii ni CCM na serikali yake lakini wengi hawataki kuelewa badala yake wapo bize na "mfumo kristo" au "maaskofu" au "chadema". mpaka tutakapoungana sote dhidi ya mkoloni huyu mweusi ndio tutaukomboa nchi hii
 
Ukisikia majanga ndiyo haya sasa polisi wamekuwaje tena wakibainika ni vema sheria itembee juu ya migongo yao.


Mkuu simiyu hatimaye leo umeongea na pointi kidogo HONGERA. Lakini kumbuka mkuu wa mkoa amewaagiza. Kazi yao ni kutekeleza maagizo ya boss wao kama kawaida. Mkuu wa mkoa ni kada wa CCM. So, generally CCM imesaidia majambazi kutoroka. Je kuna ubia gani kati ya CCM na majambazi?
 
Who is dr slaa in this country mpaka atishie nchi haitotawalika? Mimi usinifundishe la kuandika. Heshimu michango yangu japokuwa haina mbele wala nyuma. Naipenda nchi yangu ninawachukia wahujumu nchi.

Angekuwa katishia bila shaka saa hizi angekuwa ndani kwa uchochezi. Ninachokiona sasa ni kuwa Dr. Slaa alitafsiri na kutabiri mustakabali wa nchi kutokana na mazingira yanayojengeka kila kukicha. Ni jambo la kuduwaza na kusikitisha kwa Waziri kulalamika na kumhusisha kiongozi wa Polisi na hujuma katika suala zito kama la kupambana na majangili hasa wakati huu ambapo limejitokeza kama tishio nchini. Halafu aende mbele zaidi kudai mmoja wa wahusika wa ujangili amemtishia "kumshtaki" kwa Rais - huyo huyo ambaye amempa Waziri dhamana ya kupambana na majangili!

Hapo tena kuna haja ya Dr. Slaa kutuambia kuwa nchi haitatawalika? Yaani Waziri anapambana na muungano wa jangili na RPC (strange bedfellows) ambao wote wanaonyesha jeuri ya kuwa na sauti mbele ya Rais, bosi wake? Bado tu "Hamkani si Shwari Tena" kama alivyotanabahisha Chinua Achebe? Hizi si ndizo dalili zenyewe za nchi kutotawalika? Haya, Tusubiri jinsi "serikali makini" itakavyofanyia kazi kauli za Mh. Kagasheki ili "kumuumbua Dr. Slaa".
 
Huyu Kagasheki ni MNAFIKI MKUBWA kwani yeye alikuwa Waziri wa Mambo ya ndani na ameondoka hiyo wizara si siku nyingi na hao akina Liberatus amewalea yeye na ameshiriki kuwapandisha vyeo leo anataka kusema nini?

Anamfahamu Liberatus RPC wa arusha siku nyingi na kwa nini nisi amini wana ugomvi binafsi wa siku nyingi?

Kwahio amefanya makosa?wewe ulikuwa unataka afanyeje?anyamaze?mtu akijaribu apewe pongezi au ulikuwa unataka ajiunge na kina kinana?
 
Akamatwe mara moja na kupelekwa mahakamani afungwe maisha au apigwe risasi kabisa.

Nakubaliana na wewe juu ya kifungo cha maisha, risasi zihifadhiwe kwa ajili ya jangili sugu yule msomali katibu mkuu wa Chama Cha Masogange Mh. Kinena
 
Huyu RPC anatakiwa kuwa ameuwawa kwa kunyongwa haraka sana ...
 
Kuna mtu kaniuliza mbona sikuhizi huchangii JF?

Ni kwamba sometimes you need to change tactics; hii ndiyo maana yake!

I still hold on to my words watapigana na kuvurigana wenyewe kwa wenyewe mpaka ifikie wote wametoweka kabisa!

Tanzania njema is a must hakuna jiwe litabaki juu ya lingine......Then we will take over and show the way to the blessed land!
 
Akamatwe mara moja na kupelekwa mahakamani afungwe maisha au apigwe risasi kabisa.

Huyu kajitahidi kuiga yanayofanywa na wanasiasa. Kama hajawahi kuhusishwa ktk mambo kama hayo, yeye kaanzaje? Mara wanatumiwa kupiga mabomu mara kufanya kesi, leo naye kawa mbunifu!
 
Ukiona mtu mzima analia ujue kuna jambo, mimi nilimuona alivyokua akiongea kwenye taarifa ya habari nikaona mtu mzima kakutana na ukuta. Kinachotakiwa ni mkuu kuamua sasa kuyatoa haya majangili yaliyopo kwenye Dola akianzia na Mwema na kusafisha yote. Ukiona mpaka waziri ambaye anawakilisha serikali anatia huruma ni hali inayotisha na hapa naweza kumpongeza Mh. Msigwa waziri kivuli mali asili kwa kuvaa moyo wa Utaifa kuweka mambo yaliyokuwa yamejificha hadharani bila woga.
 
hiyo taarifa mimi pia niliisikia kwenye television. ni allegation nzito sana kwasababu aliongea kwa kujiamini kana kwamba anazo evidence zote. RPC ni mtu mzito sana, kumtolea allegations kama hizo tena kwenye television si jambo la kawaida manake kama hakuna ushahidi hiyo ni defamation nzito sana.
 
Yale ya ukoo wa mapanya hawa wezi kuwakamata panya wenzao yanazidi kutimia nchi nayo inazidi kumalizika waziri kagasheki anawajua majangili wa tembo hapa nchi ni akina nani lakini hana nguvu za kuwashika kwani ni watu wakubwa ndani ya serikali ya maccm

hapa nina nukuu maneno yake : kuna mtu moja amedriki kunielwa pigia simu ana lalamika anasema eti atakwenda kumueleza mheshimiwa Rais nami nkamjibu aende
kwani nina baraka zote kutoka kwa amri jeshi mkuu ambaye ni yeye.Swali la kujiuliza hawa panya watawashika panya wenzao ?
Kumbe Kikwete rafiki yao hawa majangiri, duh kweli nchi ilishaharibika hii
 
waziri analalamika kwenye vyombo vya habari, badala ya kutekeleza. tumerogwa
 
Who is dr slaa in this country mpaka atishie nchi haitotawalika? Mimi usinifundishe la kuandika. Heshimu michango yangu japokuwa haina mbele wala nyuma. Naipenda nchi yangu ninawachukia wahujumu nchi.


Mkuu CHAMVIGA
Nikikwambia unajadili mada bila kujali wala kuzingatia mada inahusu nini unalalama nakushambulia.

soma nilipohighlit red kwenye bango lako kisha

1. soma kicha cha hoja hii

2. soma bandiko langu hapa chini

Baada ya hapo jiulize umejadili nini na kwanini.........Mfano mdogo.

1. E. Lowasa ni mhujum uchimi tena Fisadi yupo ccm

2. E. Chenge mzee wa vijisent yupo ccm ni Fisadi .........

Je unasemaje kuhusu ccm kuwakumbatia hawa bilakuwaadhibu, kinyume chake wewe na Kagasheki mnatulisha umbea kwa wezi wa nyara za serikali?


quote_icon.png
By adolay

Hata mimi naamini wewe sio kipofu, kinachonisikitisha siku zote ni michango yako.

Mingi ya michango yako huwa haina base wala mwelekeo. Huwa unatoa kashifa na maneno makali kwa hoja za kizushi

Sasa kwa mambo mazito kama haya lete msimamo wako badala ya kushupalia nadharia za slaa na familia yake.



Copy: SIMBA WA YUDA II
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom