Mh.Kagasheki: RPC Arusha awatorosha majangili

Mh.Kagasheki: RPC Arusha awatorosha majangili

quote_icon.png
By Mag3

Hapa kweli pagumu...waziri vs Rpc, CCM vs CCM! Heri Simiyu Yetu keshachagua upande...bado ifweero, ZeMarcopolo, CHAMVIGA, Ritz, Chris Lukosi, chuki, Annael, FaizaFoxy, MSALANI, MwanaDiwani, stroke, masopakyindi na kikosi kizima cha Lumumba team...duh, kumeza kutema! Kaazi kweli kweli!

Mkuu Mag3

Asilimia kubwa ya hawa ni wale 77% ya wasiona elimu na wengi wao hukimbilia kumrushia Mwl. Nyerere majungu wakimwacha

kikwete kwa makosa dhahili ...........
 
Last edited by a moderator:
Naipenda nchi yangu zaidi ya mnavyofikiri. Mimi sio kipofu.

Hata mimi naamini wewe sio kipofu, kinachonisikitisha siku zote ni michango yako.

Mingi ya michango yako huwa haina base wala mwelekeo. Huwa unatoa kashifa na maneno makali kwa hoja za kizushi

Sasa kwa mambo mazito kama haya lete msimamo wako badala ya kushupalia nadharia za slaa na familia yake.
 
Mulongo ndie m/kiti wa kamati ya ulinzi na usalama mkoa wa Arusha.

Huyu ingekuwa enzi ya Hayati Mwal JK Nyerere mpaka mda huu asingekuwa ofisini maana Sokoine pia angemtosha
 
Haya maswala yametokea arusha ambako lema ndiyo mbunge na lema tabia yake iko wazi sasa mnategemea nini.

Mwanzoni niliona umeongea point nzuri sana ila kwa hii post yako inaonyesha kabisa akili zimelala..lema na RPC wana mahusiano gani mazuri??
 
Mwanzoni niliona umeongea point nzuri sana ila kwa hii post yako inaonyesha kabisa akili zimelala..lema na RPC wana mahusiano gani mazuri??

Simiyu Yetu ni miongoni mwawasiojilewa utafiti 77% wanaoishabikia ccm na kikwete bila kujuwa

sababu wao huropoka bila kuzingatia hoja wala maudhui bali hutapika chochote na popote kama mlevi.

quote_icon.png
By Simiyu Yetu

Haya maswala yametokea arusha ambako lema ndiyo mbunge na lema tabia yake iko wazi sasa mnategemea nini.
 
Last edited by a moderator:
Ni kweli kabisa kwani ana makosa manne makubwa aliyoyafanya katika utumishi wake
1. Alisaidia na kupanga shambulizi la Bomu pale kwenye mkutano wa CDM Soweto
2. Alisaidia kuwatorosha wale waarabu waliohusishwa na Mlipuko wa Bomu pale kanisani Olasiti
3. Alifanikisha kutoroka kwa wale waharifu waliomchinja Mwenyekiti wa CDM pale Usariver
4. Amehusika kuwatorosha waarabu ambao walikamatwa kwa ujangiri wa wanyama Poli

Huyu nina wasiwasi atakuwa ni mjumbe katika kikosi kazi cha Kinana cha Tokomeza Tembo Tanzania (TTT) sidhani kama atashughulikiwa .

Mkuu,

Nashangaa kusikia haya yote. Inamaana huyu ndo aliletwa na helcopita toka Kigoma kwenda Arusha kwa mashitaka ya mauaji na mlipuko wa bomu? Alisha rudi uraiani?
 
Hata mimi naamini wewe sio kipofu, kinachonisikitisha siku zote ni michango yako.

Mingi ya michango yako huwa haina base wala mwelekeo. Huwa unatoa kashifa na maneno makali kwa hoja za kizushi

Sasa kwa mambo mazito kama haya lete msimamo wako badala ya kushupalia nadharia za slaa na familia yake.

Who is dr slaa in this country mpaka atishie nchi haitotawalika? Mimi usinifundishe la kuandika. Heshimu michango yangu japokuwa haina mbele wala nyuma. Naipenda nchi yangu ninawachukia wahujumu nchi.
 
Nimemsikia Waziri kagasheki akilalamikia polisi wa vyeo vya juu kufifisha vita dhidi ya ujangili na kwamba baadhi yao wanashiriki kuwaachia/kuwatorosha watuhumiwa. Sijui kwa nini viongozi wetu wa serikali tena viongozi wa juu wanalalamika kwenye vyombo vya habari kuhusu udhaifu ndani ya serikali. Wanashindwa nini kuzungumza na kuchukua hatua stahiki kuliko kuja kutulalamikia sisi wananchi.

Hivi Waziri anapolalama hajui kuwa anaidhalilisha serikali yake. Kagasheki anawalalamikia polisi wakati yeye ni Waziri, na zaidi alishakuwa Waziri wa mambo ya ndani akiwasimamia polisi! Kama hawezi kuchukua hatua si amwendee Raisi wake ili achukue hatua. Inakera kusikia Waziri au Kiongozi coyote wa serikali akilalamika.

Jipe shughuli...mbona sisi tumemuelewa...acha ushauri wako kama nguvu za giza.

Mzee amenawa mikono na kushtaki kwa wanainchi (wenye inchi)...sasa huko unakomshauri aende kungeendeka angesubiri nini ?

Tusubiri tuone ni wangapi ndani ya hiyo serikali watamuunga mkono au ni yale yale ya kukaa kimya kinafiki....na kama kweli kuna nia safi miongoni mwa viongozi wa serikali, basi watakaa nyuma ya Kagasheki na huyo/hao wanaolinda uchafu wabaki mwenyewe.
 
Ma RPC wa Tanzania mnh! waagalie KOVA,KAMUHANDA, SHILOGILE,ZELOTHE STEPHEN nk. hamna kitu.Kwa maoni yangu zaidi ya Simon SIRRO, na DIWANI hakuna muadilifu
 
Haya ni matokeo ya Serikali kuhodhiwa na askai kwa lidhaa ya Watawala.RCO ni cheo cha chini sana katika utumishi wa nchi hii lakini hawa watu wamekuwa na madaraka makubwa sana kutokana na hofu ya Watawala eti kwa kuwa tu wanajua Maghala ya silaha yalipo.Haingii akilini Operesheni iliyoanzishwa na Rais aliyeaminiwa na Watanzania zaidi ya Milioni 45 ikachezewa na Ofisa wa cheo cha chini kiasi hiki halafu Waziri naye akaenda kwenye jukwaa mbele ya wananchi kulalamika.
 
Who is dr slaa in this country mpaka atishie nchi haitotawalika? Mimi usinifundishe la kuandika. Heshimu michango yangu japokuwa haina mbele wala nyuma. Naipenda nchi yangu ninawachukia wahujumu nchi.

Unajitia uendawazimu bule. Hujui Dr Slaa ni nani ktk nchi hii? Ishukuru jf imekupa sehemu ya kujitutumua kwa id fake. Tell us who you are? kama wewe siyo mganga njaa Lumumba.

Stop your nonsense! Waambie na wengine Lumumba. Dr.hata kama asingekuwa mwanasiasa bado kwa elimu na umri wake ulipaswa umheshimu lakini kwa kuwa siasa za tanzania zimevamiwa na wauza unga matokeo yake ndo kama wewe.

Na rudia tena, only genius should be involved in politics, should be in the forefront to lead others. Nimechoka na upuuzi wenu Lumumba....mnaandika ovyo ovyo...siasa zinaoneka za wenda wazimu which should be the contrary. Unauliza Dr Slaa ni nani?
 
Jipe shughuli...mbona sisi tumemuelewa...acha ushauri wako kama nguvu za giza.

Mzee amenawa mikono na kushtaki kwa wanainchi (wenye inchi)...sasa huko unakomshauri aende kungeendeka angesubiri nini ?

Tusubiri tuone ni wangapi ndani ya hiyo serikali watamuunga mkono au ni yale yale ya kukaa kimya kinafiki....na kama kweli kuna nia safi miongoni mwa viongozi wa serikali, basi watakaa nyuma ya Kagasheki na huyo/hao wanaolinda uchafu wabaki mwenyewe.

Bado inakera kusikiliza malalamiko kutoka kwa watu wanaoweza kuchukua hatua.
 
Back
Top Bottom