Mh. Joseph Selasin: Asante Rais Kikwete

CCM kwa kuokoteza sifa, siku Dr.Slaa akimsifia huyo Mr.Mbulula nadhani kesho yake yatatangazwa mapumziko, hakuna kwenda job
 
Hongera Mheshimiwa Joseph Selasin, Mbunge wa Rombo kwa kuwa muwazi kuhusiana na utendaji murua wa Rais JK kwa kuwezesha ujenzi wa barabara jimboni mwake.

Amediriki kutamka mbele ya Rais JK kuwa "Ingekuwa amri yake barabara husika ingeitwa Jakaya Kikwete Road"


Source: Taarifa ya HABARI TBC, Saa 2 Usiku, October 30, 2012

Mafilili, najua unafurahia hiyo kauli. Lakini ningekuwa mimi ndie Kikwete (na nikiwa na akili niliyo nayo) ningeamuru Selasini akamatwe kwa kunikejeli (unless that is ningekuwa nina uhakika kuwa Selasini ni zuzu - unfortunately siamini kuwa kikwete ana uwezo wa kugundua zuzu ni nani maana angekuwa na uwezo huo how comes mulugo ni deputy minister for - all of the ministries - education?)
 
Ulitaka akina Ngalai,Salakana na wengineo watoe fedha mfukoni?
Kama Mrema atasifia ni shauri zake na TLP yake pengine anaandaa mazingira ya kurudi CCM ndiyo maana anasifia kwa makosa jambo ambalo ni wajibu wa serikali

Du Kazi kwelikweli je na huyo anarudi CCM? mbona ukweli hamuutaki
yaani mpaka kuna vitu vinakera hata kubishana kwani alisema Zitto mkamuangukia sasa Kasema Mwenyekiti wenu je ni wa TLP?
View attachment 69927
View attachment 69928
View attachment 69929
 
Back
Top Bottom