Mh. Joseph Selasin: Asante Rais Kikwete

Hebu tuache uongo huyo Ngalai, Salakana, Mramba mbona wasizitengeneze hizo barabara?
Mrema mwenyewe msikilize hiyo kesho mambo aliyomsifia JK kwenye jimbo lake la Vunjo leo hii hasa kwa kuchaguliwa Diwani
Unajua tatizo lwa wachagga hasa upro CDM mnaona kila kitu ni kibaya na ni halali yenu kupatiwa bure lakini ni wivu mtupu kuna barabara ya kuunganisha Marangu Mtoni mpaka Mwika ni miaka inasumbua na kodi zinatolewa mbon ahaiishi? au ile ya Kilema Kirua

Ulitaka akina Ngalai,Salakana na wengineo watoe fedha mfukoni?

-Wanakusanya kodi?

-Fikra hizi ndizo zinazosababisha CCM kuwahadaa wananchi kwamba wao ndio wamejenga barabara na kuifanya ionekane favour

-Chadema sasa tuna utamaduni wa kuweka mambo wazi kwa kutoa elimu ya uraian.Mfumo wetu wa kodi sasa ubadilike ili wananchi wajue wametengewa kiasi gani na wamechangia pato la taifa kiasi gani.Hata vitongoji vijue

-Hiu tabia ya kufungua milango kwa ajili ya propaganda ni Mbaya.

Kama Mrema atasifia ni shauri zake na TLP yake pengine anaandaa mazingira ya kurudi CCM ndiyo maana anasifia kwa makosa jambo ambalo ni wajibu wa serikali
 
Selasini kwa walio nje ya Kilimanjaro ni bora mjue kuwa ametengwa na ukoo wake mwenyewe, amefukuzwa nyumbani kwao sasa analala kwa vimada wake, amekitelekeza chama wilayani na chama kimemtelekeza! Yaani CDM 2015 hata mkiweka jiwe litapata kura, ila mkimweka huyu 30 mmeuza jimbo kilaiiini!
 
Barabara husika sio hisani ya mtu bali wajibu wa serikali. Tena hii barabara ilicheleweshwa kujengwa siku kutokana na mizengwe ya kisiasa.
 
Safi sana panapostahili kusufia wewe sifia tu wengi waliomo humu JF ni wapiga kelele nyuma ya keyboard wakati uhalisia wanaujua ila basi
 
Hongera Mheshimiwa Joseph Selasin, Mbunge wa Rombo kwa kuwa muwazi kuhusiana na utendaji murua wa Rais JK kwa kuwezesha ujenzi wa barabara jimboni mwake.

Amediriki kutamka mbele ya Rais JK kuwa "Ingekuwa amri yake barabara husika ingeitwa Jakaya Kikwete Road"

Source: Taarifa ya HABARI TBC, Saa 2 Usiku, October 30, 2012

Joseph Selasini anguko lingine la CDM. Ndumila kuwili
 
Pamoja na kwamba wametofautiana kisera, lakini JK ndiyo Rais wa nchi hii kwa wachache waliomchagua na wengi ambao hawakumchagua. Kikatiba anahitaji kuheshimiwa na kupongezwa kwa yale mazuri machache aliyotenda.
 
Pamoja na kwamba wametofautiana kisera, lakini JK ndiyo Rais wa nchi hii kwa wachache waliomchagua na wengi ambao hawakumchagua. Kikatiba anahitaji kuheshimiwa na kupongezwa kwa yale mazuri machache aliyotenda......

Huo ni wajibu wake na ni lazima atekeleze kwa kuwa anakusanya kodi.Kama si ufisadi barabara hii ilitakiwa ikamilike muda mrefu.

Serikali ya CCM ilitoa vipaumbele katika kukwapua na kusahau miundo mbinu na huduma nyingine?

Kumsifia hadi kutaka barabara iitwe kwa jina lake ni upotofu katika harakati za kuelimisha wananchi kuhusu haki zao.

Rais hajatoa hela zake mfukoni.CCM wakija na propaganda watasema unaona tumejenga barabara? That's not what we bargain for.

Tulistahili barabara iliyo bora zaidi na mapema zaidi kwa kuwa ni zaidi ya miaka 50 tangu walipoanza kukusanya kodi.Tena ni strategic road!
 
Hongera Mheshimiwa Joseph Selasin, Mbunge wa Rombo kwa kuwa muwazi kuhusiana na utendaji murua wa Rais JK kwa kuwezesha ujenzi wa barabara jimboni mwake.

Amediriki kutamka mbele ya Rais JK kuwa "Ingekuwa amri yake barabara husika ingeitwa Jakaya Kikwete Road"

Source: Taarifa ya HABARI TBC, Saa 2 Usiku, October 30, 2012

Hapo ndipo unapogundua kati ya wanasiasa wakomavu na wanasiasa wa majungu. Ningekuwa mimi Mwenyekiti wa CDM angekuwa ZITTO KABWE, katibu mkuu Joseph SELASINI na katibu mwenezi angekuwa SHIBUDA kwa sababu hawa ni wanasiasa wa kweli
 
Joseph selasini anajua nini maana ya Siasa, wengine wanafikiri siasa ni mahala pa kutokea tu na siyo kwa ajili ya maendeleo ya wananchi.
 
Selasini kwa walio nje ya Kilimanjaro ni bora mjue kuwa ametengwa na ukoo wake mwenyewe, amefukuzwa nyumbani kwao sasa analala kwa vimada wake, amekitelekeza chama wilayani na chama kimemtelekeza! Yaani CDM 2015 hata mkiweka jiwe litapata kura, ila mkimweka huyu 30 mmeuza jimbo kilaiiini!

Poor comment!
 
Hapo ndipo unapogundua kati ya wanasiasa wakomavu na wanasiasa wa majungu. Ningekuwa mimi Mwenyekiti wa CDM angekuwa ZITTO KABWE, katibu mkuu Joseph SELASINI na katibu mwenezi angekuwa SHIBUDA kwa sababu hawa ni wanasiasa wa kweli

Kaanzishe Chama chako....Tangu lini adui akatuchagulia silaha za kuwapiga nazo
 
Hongera Mheshimiwa Joseph Selasin, Mbunge wa Rombo kwa kuwa muwazi kuhusiana na utendaji murua wa Rais JK kwa kuwezesha ujenzi wa barabara jimboni mwake.

Amediriki kutamka mbele ya Rais JK kuwa "Ingekuwa amri yake barabara husika ingeitwa Jakaya Kikwete Road"

Source: Taarifa ya HABARI TBC, Saa 2 Usiku, October 30, 2012
Mimi naamini siyo siku nyingi watu wataanza kujua ukweli na uongo. JK amesemwa sana lakini Mungu sasa ameona imetosha na ameanza kumpigania kupitia shuhuda za wapinzani. Ni juzi tu Kaimu kiongozi wa kambi ya upnzani bungeni naye amenena kuwa JK ni mchapa kazi na anaangushwa na watendaji wake. Wakati umefika sasa watendaji hawa wajirekebishe na kulipa fadhila za teuzi zao kwa kutomwangusha Rais JK, Rais pekee anayefanyakazi katika mazingira magumu ya gilba, majungu, wivu, chuki binafsi za baadhi ya wanasiasa, hujuma na na upotoshaji. VIVA JK.
 
Huyu Selasini ni sawa tu na Masumbuko Lamwai matapeli zandiki ndumilakuwili.

Kama mtu anakuwa ndumila kuwili kwa kusema ukweli basi na iwe hivyo. Wananchi wenyewe ni mashuhda kuwa barabara hiyo imejengwa na wao kupitia mbunge wao wameshukuru Rais kwa hilo, wewe usiye mkazi wa Rombo unakuja na maneno ya undumila kuwili. Mimi najua yeyote anayetumia maneno kama haya kwa tafsiri ya haraka haraka ni wa majungu tu na hawezi kuwa na hoja ya msingi.
 
Kaanzishe Chama chako....Tangu lini adui akatuchagulia silaha za kuwapiga nazo

Avatar yako tu inaweza kukuelezea ulivyo. Wewe sharobalo tu, u-great thinker unatoka wapi? hayo niliyaandika yana uhusiano gani na kuanzisha chama?
 
Poor comment!
Umeonae. CDM bwana , kwa falasafa yao hii ya kuwa Mwanachama wao safi ni yule anayeikashifu Serikali, kubeza kila jema lililofanya na Serikali, Upadre wao na ukabila pamoja na kufitinisha Serikali na wananchi wake kama ambavyo wanavyomtumia MABERE MARANDO hakika hawatafika mbali.
 
Duh umekomaa kwa propaganda.nimefurahi ujasiri wako wa kutumia makosa ya mwenzako kujiimarisha kisiasa
Ninachokiona hapa unacheza siasa na wanasiasa vijana wenye misimamo mikali kama ya kwako ni hatari sana kwa amani ya nchi yetu.

Type ya akina Tundu Lissu na Sheikh Ponda ninachojua ni kwamba unahiandaa kugombea Rombo ndiyo maana uko vitani na nimeona jinsi ulivyokomaaa na hili kwenye mitandao na hasa page yako ya facebook na twitter.

Hoja ulizojenga ni kweli lakini kumbuka mtu huwa anakosea na hata wewe utakapokua mbunge utafanya makosa.

Misimamo mikali kama hii itazidi kutuletea machafuko tu mkuu.Watu wa Rombo jihadharini na wanasiasa wa aina hii.

Selasini anapiga kazi na hakuna wa kumtoa na Chadema tukifanya makosa huyu kumpitisha huyu Saanane basi yatatokea ya Tarime endapo atajiunga na CCM na kugombea tena huko.
 
Back
Top Bottom