Angel Msoffe
JF-Expert Member
- Jun 21, 2011
- 6,781
- 1,657
Slaa na timu yake wajipange vyema kulidhibiti hili zee mana lazma linampango wa kugeuza matokeo.
Kamata Tendwa fungulia mashtaka mara moja
Msajili wa vyama na matokeo wapi na wapi?Slaa na timu yake wajipange vyema kulidhibiti hili zee mana lazma linampango wa kugeuza matokeo.
Katudhirishia ana uwezo wa KUPINDUA kura mpaka upande wa aliyemweka hapo washinde
Tendwa hana tofauti na yule Refa wa Man U ! Yule aliyetoa penalt 2 siku na Chelsea.............enhee ! Huyo huyo !Inanishangaza sana refa kuonyesha dhahiri anashabikia timu fulani
Kwenye vitu kama hivi ndio unapojua kuwa hii nchi tuna tatizo kubwa sana zaidi ya hata tunavyofikiria...
Bahati mbaya sana wazee wengi waliokabidhiwa idara nyeti za nchi hii wanaakili kama za Tendwa.
Tutaendelea kuwa nchi ya majanga tu
Habari ndiyo hiyo meza hivyo hivyo ingawa imekuwa chungu kwenu najua hamkutegemea.Source? Tanzania Daima!
Tendwa hana tofauti na yule Refa wa Man U ! Yule aliyetoa penalt 2 siku na Chelsea.............enhee ! Huyo huyo !