Inanishangaza sana refa kuonyesha dhahiri anashabikia timu fulani
Tendwa anatafuta umaarufu kwa kuvunja amani!
Tendwa anatafuta umaarufu kwa kuvunja amani!
Kwa mawazo yangu tusiangalie tu uchaguzi wa Meru, bali busara kwa ujumla wake. Namuomba Mh. Lema kama ni kweli aliongea maneno ya kuudhi msibani na hao wazee wa Meru wakasikia, akawaombe radhi wayamalize.
Najua hata kama asipoomba msamaha hakuna litakalotokea, na hao wazee hawawezi kumzuia asifanye kampeni kujiandaa na uchaguzi wa Meru, kwani kila mtu ana uhuru wa kwenda popote Tanzania hii, ila napendekeza busara itumike zaidi.
Ni vizuri kujishusha wakati mwingine, pale tunapokosea hata kama tunayo support ya kutosha kutoka kwa wananchi.
Wazee wepi hawa waliokanusha uongo au wale waliosema uongo pls be specific.Money can do any thing. Awa wazee wamenunuliwa tayari.
Mkuu nimefanikiwa kuongea na baadhi ya wana familia wa Sumari wanashangaa sana haya mambo yanavyo kuzwa wanasema watakapo kutana tarehe 29.02.2012 wataangalia namna ya kumshitaki Tendwa...Kusema jimbo litaenda chadema ni maneno ya kuudhi?
Kwa mawazo yangu tusiangalie tu uchaguzi wa Meru, bali busara kwa ujumla wake. Namuomba Mh. Lema kama ni kweli aliongea maneno ya kuudhi msibani na hao wazee wa Meru wakasikia, akawaombe radhi wayamalize.
Najua hata kama asipoomba msamaha hakuna litakalotokea, na hao wazee hawawezi kumzuia asifanye kampeni kujiandaa na uchaguzi wa Meru, kwani kila mtu ana uhuru wa kwenda popote Tanzania hii, ila napendekeza busara itumike zaidi.
Ni vizuri kujishusha wakati mwingine, pale tunapokosea hata kama tunayo support ya kutosha kyutoka kwa wananchi.
tendwa kawadharau wazee wa kimeru kwa kujidai kuwa msemaji wao!
hahaha ndo hiyo hiyo...Chilli tanzania daima!! Chill source ama?
wewe ndio yule sekretari wa Lema nini?Mkuu nimefanikiwa kuongea na baadhi ya wana familia wa Sumari wanashangaa sana haya mambo yanavyo kuzwa wanasema watakapo kutana tarehe 29.02.2012 wataangalia namna ya kumshitaki Tendwa...