Mh Godbless Lema amjibu Tendwa

Baada ya msajiri wa vyama vya siasa John Tendwa kuwasemea wale aliowaita wazee wa Arumeru, kundi jipya limeibuka na kudai Tendwa kalisemea kundi la wazee wa CCM nao wanakuja kama wazee wa UPINZANI kusema yafuatayo:-
1. Neno la kutishia kuua tayari ni kuua na hawakutarajia mtu makini kama Tendwa kuendelea kulisisitiza hadharani kama sio kuchochea vurugu.
2. Lema hakumtukana mtu hata kama alionyesha vidole viwili kwani yeye mda wote anatetea maslahi ya chama chake. Walitaka atamke kidumu chama cha mapinduzi ndo waridhike?
3. Wanadai kila mmoja anaweza kuua na wote pande zote mbili ni wakazi na wana Arumeru hawana haja ya kutishana kwani wanatumia siraha sawa na mbinu sawa.
4. Wanamwambia Lema karibu Arumeru hata leo waone nani anakuwa wa kwanza kumfunga paka kengere.
5. Mwisho wanamwambia Tendwa awe tayari kujibu mbele za watanzani juu ya madhara yoyote yatakayojitokeza kutokana na vurugu anazozichochea kwa wanameru yeye akishirikiana na CCM.
Wazee hao nao wanajipanga kuitisha mkuta na waandishi wa habari mda wowote.
Source: Dr mmoja hospitali ya Tengeru ambaye ni Mmeru mkazi wa Sing'si.
Mzee tendwa anaingilia mabo ya hawa wazee wa kimeru je hawa washiili ni chama cha siasa?
 
Juzi tu, gazeti la Daily News lilichapisha habari ya Lema na Washili, mkalishambulia kwa hisia kali.
Sasa kumbe ni ishu nzito hivi?
 
haka kamzee kanarafudh flan kanavyoongea basi m sipendi hv kwnin asiongee ka prof msola au tibaijuka mtu chako.
 
tukumbushe LEMA aliongea maneno gani yakuwaudhi wazee?

Mkuu nimesema KAMA NI KWELI aliongea maneno ya kuwaudhi, post yangu haisemi kwamba Lema kaongea maneno ya kuudhi. Wengi naona mmeirukia post yangu na kunisema bila kusoma between lines
 
tabia ya tendwa ni kama ya Howard webb yule refa maarufu kule england

Malizia kabisa, Yule refa ambae lazima atoe Penalty pale Old Trafford.
Bado nina mashaka na Intelijensia ya Manumba Na wenzie Mwombeji na Mwema. Huyu Tendwa alikua ni wa Kukamatwa ataje hao wanaotishia mauaji.
 
Mkuu nimesema KAMA NI KWELI aliongea maneno ya kuwaudhi, post yangu haisemi kwamba Lema kaongea maneno ya kuudhi. Wengi naona mmeirukia post yangu na kunisema bila kusoma between lines

So huna uhakika???
 
Kauli kama hizi zaTendwa sio mara ya kwanza kutoa ili kuwabeba nagamba kwani hata uchaguzi mkuu wa mwaka jana aliwaasa wapiga kura kuwa wakimaliza kupiga kura warudi majumbanikwao wakasubiri matokeo yatangazwe hakujua kwamba watanzania wa sasa sio wa mwaka 47 na matokeo yake watu walipiga kura na wakazilinda kura zao na matokeo yake aliyaona. Mbinu walizonazo magamba ni kutumia tume ya uchaguzi, msajili wa vyama siasa kama Tendwa anavyofanya sasa akiongea kwa kutumia "MASABURI", kutumia vijana kuanzisha vurugu ili waonekane ni wapinzani ndio wamefanya hivyo. Cha msingi hapa ni jeshi la polisi kumhoji Tendwa na ikiwezekana awataje au kuwaonyesha kwa jeshi lapolisi hao wazee ili wachukuliwe hatua kali za kisheria kwani hii nchi haiongozwi na vitisho tena vya mauaji na wazee wa kimeru.
 
Na Lema akiuwawa sio mje mseme kuwa ni kosa la serikali. Ameambia asiende huko lakini hasikii.
 
Back
Top Bottom