Mh Godbless Lema amjibu Tendwa

Mh Godbless Lema amjibu Tendwa

Oooooh, Kamanda Lema, Mungu akupe afya. Tulioko mbali tunawezaje kuchangia hata hela ya maji kwa wapiganaji wakati wa Kampeni?
 
One thing about Godbless Lema, one distinct character, this just one that his enemies don't know about, is; HE RARELY SPEAKS OR WRITES, BUT WHEN HE DOES SO, THUNDER CAN BE HEARD FROM AFAR!!!!

Godbless Lema is one of the few MPs who writes few paragraphs whose content is that of book of Revelation.

.......Ohh...and he means what he says, always has...!!!

Hicho kidhungu..................Naona kizunguzungu!!
 
Mie sioni sababu ya kumkataza Lema, kwenda Arumeru ni vizuri aende akaizamishe Chadema.

Simply stupid and full of Tanzanian blood. usijali tutakapoimboa Tanganyika nae utafaidi matunda
 
Kwa mara nyingine Tendwa anaweka wazi makusudio ya CCM na vibaraka wake kuvuruga uchaguzi Arumeru kwa gharama yoyote.

Kutoka Guardian ya 24 Feb 2012 Tendwa kanukuliwa akisema...

“I have completed my mission in the Arumeru-East constituency where my office was studying the pre-election situation and concluded that the issue of the local chiefs against MP Lema was being taken very serious in the community, and Chadema might wish to iron out the situation as fast as possible,” Tendwa maintained.

Lema is accused by the Meru community elders of celebrating what the MP described as ‘victory’ when the former Arumeru-East MP, the late Jeremiah Sumari, was being buried at his Akeri home late last month.

“My advice is that Chadema, as well as Lema, should go and apologize to the Meru leaders so that the hatchet may be buried because if traditional leaders have banned the politician and he tries to force his way there, then chaos and breach of the peace might be inevitable,” warned Tendwa.

Msajili amaanisha kuwa CCM na serikali ni ruksa kuchochea na kuruhusu fujo zitokee Arumeru na Chadema wabebeshwe lawama?
 
kauli ya tendwa ni ya kishabiki na katumwa na ccm!yeye kama msajili masuala hayo hayamhusu!yeye ni msemaji wa wazee ar?
 
Jamani tulishasema Lema hajazuiliwa, ila janja ya kuwashushia kura CDM ndo ilitumika ili wakazi wa Meru waione CDM kuwa haifai
 
Hawa machifu wanatambulika kisheria? Huyu TENDWA vipi? machifu walishaondolewa kwenye katiba long ago
 
Hapana, huyu Baba, Refarii Mchezaji katika mambo ya kisiasa nchini, alikua anazungumzia tu 'Washiri - CCM' tena wale wanaoishi nao kule Masaki Dar es Salaam na wala hakumaanisha Wazee wa Meru maana pale hata TLP wanao wafuasi wao katika lile jopo la wa Washiri wa vijijini kule Meru sembuse CHADEMA tena ndio ikose 'Washiri-CDM'???????

Kwa mara nyingine Tendwa anaweka wazi makusudio ya CCM na vibaraka wake kuvuruga uchaguzi Arumeru kwa gharama yoyote.

Kutoka Guardian ya 24 Feb 2012 Tendwa kanukuliwa akisema...

"I have completed my mission in the Arumeru-East constituency where my office was studying the pre-election situation and concluded that the issue of the local chiefs against MP Lema was being taken very serious in the community, and Chadema might wish to iron out the situation as fast as possible," Tendwa maintained.

Lema is accused by the Meru community elders of celebrating what the MP described as ‘victory' when the former Arumeru-East MP, the late Jeremiah Sumari, was being buried at his Akeri home late last month.

"My advice is that Chadema, as well as Lema, should go and apologize to the Meru leaders so that the hatchet may be buried because if traditional leaders have banned the politician and he tries to force his way there, then chaos and breach of the peace might be inevitable," warned Tendwa.

Msajili amaanisha kuwa CCM na serikali ni ruksa kuchochea na kuruhusu fujo zitokee Arumeru na Chadema wabebeshwe lawama?
 
Andegenye anacheza ngoma ile ile ya propaganda,hapa amejipendekeza ili kuondoa utata wa kauli ya Tendwa ambaye alikuwa anacheza ngoma hiyo hiyo

Tatizo kwa Arumeru hawatapata wachezaji
 
Andegenye anacheza ngoma ile ile ya propaganda,hapa amejipendekeza ili kuondoa utata wa kauli ya Tendwa ambaye alikuwa anacheza ngoma hiyo hiyo

Tatizo kwa Arumeru hawatapata wachezaji

Yaani Tendwa ameaibika mno
 
Hapana ukweli si hivyo kivile,

Yaani huyu Baba, Refarii Mchezaji katika mambo ya kisiasa nchini, alikua anazungumzia tu 'Washiri - CCM' tena wale wanaoishi nao kule Masaki Dar es Salaam na kugawana vya kukwapuliwa na MAFISADI kwenye hazina yetu ya taifa.

Kimsingi ama watu hawakumwelewa vizuri Mhe Yohane Tendwa na kauli yake au ni tatizo tu la KUNUKULIWA VIBAYA kule tena.

Msajili huyu wa vyama mwenye JUKUMU LA KISHERIA KULEA VYAMA VYOTE KWA USAWA na kutokuingiza ushabiki wowote katika chama kimojawapo, nilivyomwelewa mimi hapa ni kwamba alipowazungumzia Wahiri wala hakumaanisha Wazee wa Meru maana si kazi yake kuwa msemaji wa wanavijiji fulani na maoni yao kisiasa nchini.

Wala ukweli huu kwamba pale Meru hata TLP kinacho tu ka-kijipande chake cha wafuasi wao katika lile jopo la wa Washiri kisitupite.

Hivyo, mtu na au taasisi yoyote itakayokua ikijifariji na wazo la kuwa na HATIMILIKI YA KIPEKEE KWA WASHIRI WA MERU ni kwamba watakua wamekwenda too low kisiasa na hata kubaki kuwashangaza mno Washiri wenyewe wale ORIGINO na wala si Washiri-Tendwa wa kule Masaki.

Hivyo siku chache tu hapo mbeleni kidogo Tendwa atashangazwa mno kushuhudia Washiri-CHADEMA, wale orijino wa vijijini kule Meru watakapojitokeza hadharani na kumlaani vilivyo kwa kujitia msemaji wao bila kuombwa na mtu yeyote yule.

Na hizo ndizo siasa mkuu Tendwa, bora ukachukue tu fomu kugombea na wewe pale Meru Mashariki maana yule kijana mliemweka kwa kuwapiga kumbo akina Kaaya na Sarakikya mmhhhh wala sisemi wanakijiji wanavyomuona kituko kwao na hata kilugha hakijui hivyo Washiri nao wameamua kumtema jumla hata kabla ya kura kupigwa.


Kwa mara nyingine Tendwa anaweka wazi makusudio ya CCM na vibaraka wake kuvuruga uchaguzi Arumeru kwa gharama yoyote.

Duh, politricks in Bongoland.
 
Washiri kama huyu anayeshindia ubuyu na mkewe eti akamsapoti shabiki wa CCM Yohane Tendwa, subuti, kwa raha gani aliyonayo katika maisha haya ya kukwapuliwa kila kitu na MAFISADI wasiovulika gamba ndani ya chama hicho???????????

Copy-2-of-Mr.-Simango-holding-baobab-shell-600x402.jpg
 
Back
Top Bottom