Kweli. Lakini Slaa atakubali, si atasema yeye (Slaa) ndo kamtengenezea njia? Nayakumbuka maneno ya WassiraMbowe kajipanga anataka kugombea urais mwaka 2015 alimuachia Dr Slaa, mwaka 2010 akashindwa anataka naye ajaribu tena.

Mnamshabikia mpiga Disco kweli nyinyi ni wachovu khaa
Laiti ingelikuwa amri yangu ningependekeza Mbowe awe Mkiti wa kudumu huku Dr Slaa awe Katibu mkuu wa kudumu
He is humble and a down to earth person.He is a true leader.Hana dharau na amejitolea kulikomboa Taifa.Kiukweli tukiacha ushabiki Mbowe ni kiongozi hasa, nakumbuka ile juzi wakiwa pale Serena kuchangisha hela za M4C, aliporekebisha kauli ya Kamanda Lema alivyosema lines zote za mitandao watazitupa chooni kama wakihujumiwa, Mbowe akaja baadae akasema wanaamini kuwa ni matatizo tu ya mitandao hivyo wananchi waendelee kujaribu. Ukweli jamaa namkubali hasa, namna tu anavyojinyenyekeza huwezi amini kama ni mtu aliyekulia kwenye utajiri toka utotoni, tumwombee afya njema na asije akakutana na peop mbaya, kwani wakati mwingine wanansiasas huwa hawatabiriki
unaona faida ya kutokwenda shule?Afazali mpiga disco lakini je Mh mmja aliye ingia mikataba na dini moja maarufu hapa nchini kwamba wapigie kampeni akiwa Rais atawauwa wakristo wote hapa tz na kuwapendelea waamini wa dini yake na tukampiga chini .
....acha kumsifia DJ wewe anachumia tumbo lake, kauzia chama magari mabovu tena kwa bei kubwa,tz sio madagascar
Mnamshabikia mpiga Disco kweli nyinyi ni wachovu khaa
Mnamshabikia mpiga Disco kweli nyinyi ni wachovu khaa
Mnamshabikia mpiga Disco kweli nyinyi ni wachovu khaa
Sitaki kuamini mkurugenzi upeo wako ndo umeishia kufikiria huu utumbo.All in all ni kiongozi ambaye hata Mimi namkubali.
Mumeo hakuamini?mimi natamani mbowe awe rais 2015 kwa sababu ni wa nyumbani na anakijua chama toka zamani na mkwe wake anamwamini sana.
mkuu sio juani ni madhara ya kuvuta bangi chooni maana msokoto mzima unamaliza peke yako juani kidogo afadhari unaweza kumpata wa kukugongea na hivyo mtakuwa mnashare makali lakini la chooni noooma yaani msokoto ukiwa kama kombola lazima ulimalize mwenyeweMadhara ya kuvutia bange juani haya!
mkuu sio juani ni madhara ya kuvuta bangi chooni maana msokoto mzima unamaliza peke yako juani kidogo afadhari unaweza kumpata wa kukugongea na hivyo mtakuwa mnashare makali lakini la chooni noooma yaani msokoto ukiwa kama kombola lazima ulimalize mwenyewe