Hayo ndio mawazo ya KIMAGAMBA inayofikiri hii nchi wan hati miliki yao .Laiti ingelikuwa amri yangu ningependekeza Mbowe awe Mkiti wa kudumu huku Dr Slaa awe Katibu mkuu wa kudumu
Laiti ingelikuwa amri yangu ningependekeza Mbowe awe Mkiti wa kudumu huku Dr Slaa awe Katibu mkuu wa kudumu
Mnamshabikia mpiga Disco kweli nyinyi ni wachovu khaa
Hayo ndio mawazo ya KIMAGAMBA inayofikiri hii nchi wan hati miliki yao .
CDM ni ya wazalendo wote wao ndio wapo kwenye mstari wa mbele wa mapambano .
Utakao fika wakati itabidi wapumzike nguvu mpya iimarishe M4C
Mnamshabikia mpiga Disco kweli nyinyi ni wachovu khaa
Afazali mpiga disco lakini je Mh mmja aliye ingia mikataba na dini moja maarufu hapa nchini kwamba wapigie kampeni akiwa Rais atawauwa wakristo wote hapa tz na kuwapendelea waamini wa dini yake na tukampiga chini .Mnamshabikia mpiga Disco kweli nyinyi ni wachovu khaa
unataka kumsahau mwalimu kwasababu ya mbowe. unadhani mbowe akitawala hii nchi miaka 23 ataondoka maskini kama nyerere.Mimi kanikuna zaidi recently kwa namna alivyolizima zimwi fake la harakati za urais ndani ya Chama. Yaani kasababisha nianze kufikiria kumsahau Mwalimu Nyerere. Kanithibitishia kwamba wapo watanzania wenye uwezo wa kukabiri hoja mfu zilizopakwa rangi za samawati kwa hoja badala ya kuzikimbia kama alivyotuzoesha Amiri Jeshi Mkuu, Rais, Alhaji, DR, Kanali na Mwenyekiti Kijana wa Chama cha Mapinduzi.
Huyu mtu huwa namfananisha na Makongoro Nyerere,yaani wamefanana kwa SURA,utadhani ni NDUGU.
Ili tupige hatua tunahitaji mtu mwenye msimamo wa pekee, kujiamini, asiyebabaika na anayesimamia kile anachokiamini. Nchi inaliwa na wajanja wachache, hao ndio waliojipenyeza kila kona ya nchi yenye kuleta senti ktk mfuko wa taifa, wapo TRA, kwenye mikataba ya madini, gas, uzalishaji wa umeme, maliasili, nk.
Watanzania tunahitaji mtu mwenye roho ngumu ambaye atakuwa tayari hata kumpeleka jela mkewe, mtoto, baba, mama au kimada wake kwa kuiba mali au pesa za umma. Nimemfuatilia sana Mhe Mbowe, nikakumbuka alipojaribu bahati yake kutaka kuwa raisi mwaka 2005, alishindwa vibaya, akaona bado hajafika, akarudi na kujipanga kwa kujenga chama, akaona lazima kiwe na mtandao kila mahali kuanzia kijijini mpaka mjini, kuanzia kwa wababa mpaka watoto, vijana mpaka wamama, akajipanga kuwa na nguvu kubwa zaidi ya wabunge, akajipanga kuondoa majungu na fitina ya muonekano wa chama kuwa wa kikristo au kichaga. Huyo ndio Mbowe, anafanana sana na Kagame, mwanajeshi ambaye hana hata degree lakini anaijenga rwanda iwe kwenye kundi la 'Developed conuntries'!!!