Mh.Freeman Mbowe wa CDM ndiye huyu ?

Namkubali sana kamanda huyu Mungu ampe uvumilivu ktk utendaji wake huo na kumuepusha na maadui zake wote.
 
Mimi alinikonga nyoyo pale dar wakati akichangisha pesa za M4C lema alisema kampuni za simu zikihujumu zoezi la uchangishaji atawashawishi wateja watupe line chooni- Mbowe akainuka na kumsawazisha kijana kwa kuwaomba radhi wachangiaji Kama wanapata wakati mgumu kuchangia kwa simu kwa kuwaambia ni mtandao Uko bize kwani ni mamilioni ya watu wanatuma hela kwa wakati mmoja ndio maana line zinakuwa bize-nawaombeni muwe wavumilivu na mjaribu tena na tena Kama Leo ikikataa jaribu na kesho hujachelewa ni zoezi endelevu na mtuwie radhi kwa usumbufu mtakao upata- la pili alilonikonga moyo wangu ni pale aliposema nikifa Leo msilie wala kusimamisha mapambano ya kudai uhuru kutoka kwa mkoloni mweusi Yani ccm hapana mtawapa maadui advantage ya kujipanga na kujibu mashambulizi nyie wekeni jeneza la Mbowe pembeni na msonge mbele na mashambulizi Mimi sina dhamani ya watz 45million msinililie niwekeni pembeni na msonge mbele makamanda mpo wengi akamalizia kwa kusema peplesssss wakamuitikia powerrrrrrr nusu nivunje tv kwa teke nidadi ilipanda sana- I like the guy he is real comander in chief he is real unique, wise, smart and intelligent much respect camander in chief Mbowe.....
 
Mark my words and save them for 2015. Dhambi ya kutaka kumuengua Dr. Slaa itawatafuna hadi mifupa. Hata hivyo kwa vile DJ ni jembe basi nyani asiangaliwe usoni.
 
Mnamshabikia mpiga Disco kweli nyinyi ni wachovu khaa

Kupiga disco ni carrier unaweza ukawa daktari lakini ukapiga disco au ukawa footballer kama shughuli nyingine mbadala ya kujiburudisha pia kujiajiri. Hata mpiga Disco nae ana umuhimu pia kwani wanatusababisha kuondoa msongo wa mawazo hivyo ni watu muhimu sana katika maendeleo ya siasa na ndio maana CDM walivyoitisha harambee hivi juzi kati waliwaomba watu wa kada ya kati na wataaluma wajitokeze kwa kuingia kwenye siasa. Unamwona mpiga disco wakati mnakaribishwa kuingia kwenye siasa mnaingia mitini mnabaki yule mpiga disco au yule darasa la saba n.k wakati wewe hujachukua hatua. Mie na wafagilia watu wa namna hii wenye kuthubutu japokuwa kiukweli CV yake siijui lakini kwa kujitoa mhanga hapo ni [pongezi
 
Mimi alinikonga nyoyo pale dar wakati akichangisha pesa za M4C lema alisema kampuni za simu zikihujumu zoezi la uchangishaji atawashawishi wateja watupe line chooni- Mbowe akainuka na kumsawazisha kijana kwa kuwaomba radhi wachangiaji Kama wanapata wakati mgumu kuchangia kwa simu kwa kuwaambia ni mtandao Uko bize kwani ni mamilioni ya watu wanatuma hela kwa wakati mmoja ndio maana line zinakuwa bize-nawaombeni muwe wavumilivu na mjaribu tena na tena Kama Leo ikikataa jaribu na kesho hujachelewa ni zoezi endelevu na mtuwie radhi kwa usumbufu mtakao upata- la pili alilonikonga moyo wangu ni pale aliposema nikifa Leo msilie wala kusimamisha mapambano ya kudai uhuru kutoka kwa mkoloni mweusi Yani ccm hapana mtawapa maadui advantage ya kujipanga na kujibu mashambulizi nyie wekeni jeneza la Mbowe pembeni na msonge mbele na mashambulizi Mimi sina dhamani ya watz 45million msinililie niwekeni pembeni na msonge mbele makamanda mpo wengi akamalizia kwa kusema peplesssss wakamuitikia powerrrrrrr nusu nivunje tv kwa teke nidadi ilipanda sana- I like the guy he is real comander in chief he is real unique, wise, smart and intelligent much respect camander in chief Mbowe.....
Lema alikua anatumia staili ya kulia nyau. hiyo imo
 
Sawa Mkuu advantage sio...Kama Yule muoga asiye na nguvu alipomtisha shujaa na mbabe kwa kumwambia marehemu nili Muua Kama wewe ajili ya ubishi wake na shujaa akatoka nduki uku akisema na huniui ngoo kwa muoga hakunaga msiba muoga akamjibu ndio maana Mimi sifi...
 
Back
Top Bottom