Amanikwenu
Senior Member
- Dec 1, 2009
- 187
- 0
Napendekeza Mwenyekiti Mbowe ajiuzulu uwenyekiti wa chama ili kutoa nafasi kwa Dr. W Slaa kuwa Mwenyekiti mpya wa CHADEMA ili aweze kuijenga CHADEMA ipasavyo toka ngazi ya chini kabisa.
Pia hii itakuwa ni heshima kubwa kwa Dr. Slaa kutokana na mchango wake mkubwa alioutoa katika kukikuza chama chao na hatimaye kufika hapa walipofika. Mchango wa Dr. Slaa katika uchaguzi wa mwaka huu hautasahaulika kamwe na utaingia katika historia ya nchi hii.