Amanikwenu, mbona hujawahi kumshauri Shalif Hamad aachiwe umwenyekiti wa CUF kwa mchango wake mkubwa kukujenga chama chao???????? Je, uliona umuhimu wa Shalif ukipungua kwa kutokuwa mwenyekiti wa CUF. Kwanza Katibu mkuu ndio mtendaji mkuu wa chama, na mwenyekiti na katibu mkuu lazima wafanye kazi kwa karibu sana kwa mafanikio yoyote ya chama.
Naamini bado Dr. Slaa ana nafasi na ataendela kuwa na nafasi kubwa na muhimu katika chama cha CHADEMA.
Naamini bado Dr. Slaa ana nafasi na ataendela kuwa na nafasi kubwa na muhimu katika chama cha CHADEMA.