Mh Freeman Mbowe, jiuzulu uwenyekiti wa chama | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mh Freeman Mbowe, jiuzulu uwenyekiti wa chama

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Amanikwenu, Nov 10, 2010.

 1. A

  Amanikwenu Senior Member

  #1
  Nov 10, 2010
  Joined: Dec 1, 2009
  Messages: 187
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Napendekeza Mwenyekiti Mbowe ajiuzulu uwenyekiti wa chama ili kutoa nafasi kwa Dr. W Slaa kuwa Mwenyekiti mpya wa CHADEMA ili aweze kuijenga CHADEMA ipasavyo toka ngazi ya chini kabisa.

  Pia hii itakuwa ni heshima kubwa kwa Dr. Slaa kutokana na mchango wake mkubwa alioutoa katika kukikuza chama chao na hatimaye kufika hapa walipofika. Mchango wa Dr. Slaa katika uchaguzi wa mwaka huu hautasahaulika kamwe na utaingia katika historia ya nchi hii.
   
 2. MTWA

  MTWA JF-Expert Member

  #2
  Nov 10, 2010
  Joined: Aug 5, 2009
  Messages: 1,013
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 145
  Sidhani kuwa ni lazima awe M/kiti ndo ajenge. kaza buti twende!

  Ila wewe nina wasiwasi ni mmoja wa waliotumwa kuvuruga chama. Chadema wanaoutaratibu wao. Slaa bado katibu Mkuu, Mbowe mwenyekiti waacheni tu, tuangalie kazi tu.
   
 3. PPM

  PPM JF-Expert Member

  #3
  Nov 10, 2010
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 839
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Hivi inawezekanaje mtu unakuwa senior member kwenye Forum ya wasomi halafu unaandika pumba. Tunakubali mawazo ya kujenga na siyo ya kuboboa. Ungetakiwa uwe Dodoma kumpigia Chenge Kampeni hili mkimalize CCM kama mlivyofanya hawamu ya kwanza kwenye uteuzi wa mawaziri.
   
 4. Ndibalema

  Ndibalema JF-Expert Member

  #4
  Nov 10, 2010
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 10,895
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
  Mkuu unaturudisha nyuma kabisa.
  Hili lilishajadiliwa sana kipindi kile kabla ya uchaguzi.
   
 5. T

  TrueVoter JF-Expert Member

  #5
  Nov 10, 2010
  Joined: Feb 13, 2008
  Messages: 654
  Likes Received: 166
  Trophy Points: 60
  ..ni *-*-* tu ndio wanaweza kuwa na maoni km haya!
   
 6. Jatropha

  Jatropha JF-Expert Member

  #6
  Nov 10, 2010
  Joined: Apr 9, 2009
  Messages: 1,068
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135

  mbona sioni haoja za kudai katiba na tume huru ya uchaguzi badala yake mnaleta za umbea mtupu!!! Tutaweza kweli 2015 kufanya mabadiliko kwa umbea kuwa juu kiasi hiki?
   
 7. PAS

  PAS JF-Expert Member

  #7
  Nov 10, 2010
  Joined: May 3, 2010
  Messages: 452
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  ilo nalo neno mi nazani anafaa sana akitoka mana hajajiamini akiwa kama mwnykiti akaamua kurudi jimboni ivo mbowe hana msimamo kabisaaaa babangu>>>
   
 8. Antonov 225

  Antonov 225 JF-Expert Member

  #8
  Nov 10, 2010
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 309
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Huyu naye ni mwana JF na ameteleza anapaswa kusamehewa, Cha msingi ni kwamba wanaharakati wote wanapaswa wasijengwe kwenye misingi ya madaraka wala uroho wa Madaraka. Kutaka madaraka ni misingi ya (ubepari,u-ccm, na uchenge) ambayo huua uwanaharakati. Hata Muheshimiwa Mbowe/Zitto anapaswa kuliangalia hili. Wakati mwingine position fulani zinaweza kudhoofisha utekelezaji wa jambo fulani kwa mwanaharakati.
   
 9. PPM

  PPM JF-Expert Member

  #9
  Nov 10, 2010
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 839
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Wewe PAS, haufai kuchangia hii Forum maana ni pumba tu unachangia, ningependa kujua helimu yako, isije ikawa kama Elimu za wajumbe wa CCM.
   
 10. nguvumali

  nguvumali JF Bronze Member

  #10
  Nov 10, 2010
  Joined: Sep 3, 2009
  Messages: 4,850
  Likes Received: 124
  Trophy Points: 160
  Mbona Katibu ananafasi ya kipekee katika Ujenzi wa chama.
   
 11. F

  Froida JF-Expert Member

  #11
  Nov 10, 2010
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 7,160
  Likes Received: 725
  Trophy Points: 280
  Mwenyekiti kawaida sio mtendaji kwa hiyo Dr Slaa yuko kwenye nafai nzuri ya kujenga chama kama Katibu
   
 12. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #12
  Nov 10, 2010
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,233
  Likes Received: 130
  Trophy Points: 160
  Hivi muliambiwa kuwa ni nafasi ya cheo inayojenga chama au ni ushawishi wa mtu mbele ya jamii?
  Usianze kuvuruga chama..consult with your Digestive system before coming here!
   
 13. mmh

  mmh JF-Expert Member

  #13
  Nov 10, 2010
  Joined: Nov 9, 2010
  Messages: 550
  Likes Received: 355
  Trophy Points: 80
  Katibu ndo haswaa mjenzi wa chama, kiukweli dr. Katika nafasi ya ukatibu anaitendea haki sana na ndio maana hata maamuzi mbalimbali yanafanyiwa research ya nguvu ndani ya chadema, ndg hebu angalia ccm katibu kapwaya yaani ana act with no focus.
   
 14. PAS

  PAS JF-Expert Member

  #14
  Nov 10, 2010
  Joined: May 3, 2010
  Messages: 452
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  we unazani elimu ndio kigezo cha mtu???
  Ila napenda kujb sulual ulilouliza mimi nina elimu ya kunitosha kuishi vizuri hapa mjini bila shida
   
 15. PPM

  PPM JF-Expert Member

  #15
  Nov 10, 2010
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 839
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Kuishi vizuri ungeonyesha njaa zako waziwazi namna hii, kumeliwa ndugu yangu, waliwahi wenzako kina Kibonde na Michuzi kuonyesha njaa zao mapema, subiria 2015
   
 16. Mabel

  Mabel JF-Expert Member

  #16
  Nov 10, 2010
  Joined: Sep 1, 2010
  Messages: 1,004
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  PAS, nimeshakwambia na ninarudia tena, wewe ni mbomoaji sio mjengaji na huifahamu Chadema, siasa, na wanachadema, wewe ni CCM 100%, na umetumwa kuvuruga kama Mjumbe mmoja alivyosema, heshima kwake.

  Hivi kipimo cha M/kiti bora na frequency yake ya kugombea uraisi? Mbowe binafsi namheshimu sana na nikiongozi mwelevu na makini, wakati Dr. Slaa anapitishwa kugombea Uraisi, Mbowe (Mh. Mwenyekiti/Mbunge) alisema Chadema kimefanya utafiti wa kisayansi na kugundua kuwa Dr. Slaa ndie anayehitajika sana na watanzania (ni hii ni kweli sote tumeona), hivyo hakuwa na budi ya kurudi jimboni na kumwaacha Dr. aendelee, na hii ndio demokrasia ya kweli.

  Ombi langu kwako wewe PAS
  Toa bendera yetu mapema iwezekanavyo.
   
 17. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #17
  Nov 10, 2010
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 19,509
  Likes Received: 364
  Trophy Points: 180
  hahaaaa hebu ni PM kwanza nikuambie kitu
   
 18. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #18
  Nov 10, 2010
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 19,509
  Likes Received: 364
  Trophy Points: 180
  hahaaaa msameheni jamani
   
 19. andrewk

  andrewk JF-Expert Member

  #19
  Nov 10, 2010
  Joined: Apr 13, 2010
  Messages: 3,055
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145
  huyo pas nadhani ni ndugu na malaria sugu, tumeingiliwa hapa
   
 20. PAS

  PAS JF-Expert Member

  #20
  Nov 10, 2010
  Joined: May 3, 2010
  Messages: 452
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  siitoi wala nini??
  mimi dam dam yan nataman tungekua tunaweka open profile ze2 msingenitukana

   
Loading...