mintolo jingi
Member
- Mar 8, 2011
- 16
- 5
umesikika
Asante mkuu wangu!Hujakosea comrade,nipo kwenye kinyang'anyiro
Naelewa mkuu,najua unapenda sana kutoa changamoto...nahisi ukiwa mdogo ulikuwa rebellious sana,ha ha haaa!
Otherwise,good day comrade
Napendekeza Mwenyekiti Mbowe ajiuzulu uwenyekiti wa chama ili kutoa nafasi kwa Dr. W Slaa kuwa Mwenyekiti mpya wa CHADEMA ili aweze kuijenga CHADEMA ipasavyo toka ngazi ya chini kabisa. Pia hii itakuwa ni heshima kubwa kwa Dr. Slaa kutokana na mchango wake mkubwa alioutoa katika kukikuza chama chao na hatimaye kufika hapa walipofika. Mchango wa Dr. Slaa katika uchaguzi wa mwaka huu hautasahaulika kamwe na utaingia katika historia ya nchi hii.
Cha muhimu ni kuwa na confidence katika speech, unachosema kiwe kweli unachokiamini, automatically your body will respond to your theories and concepts in such a way you will enlight other people. You will have followers that believe in you ! hopes in you!
Back to me , Was raised in the Born Again church where pastor did not preach what is written in the bible! alihubiri matakwa yake, mipango yake, maono yake na akabaki kuumiza watu kisaiolojia. Jambo lile liliniuma sana na nikastick na nikasimamia waht bible say, what bible stand for, I reached in a stage to say it openly! na nikapata wafuasi.....nikaenda deep sana na kuwa bible apologetics, hapo nikaona usanii mkubwa sana kwenye dini zetu hizi. My stands is preach what you believe. Nikaja kuwa mtu anayewaza differently!
Ukija kwa chadema, kama tunataka chadema isirudie makosa ya CCM, then what I am doing is far better than any of your consultant does ! I love cdm in such a way that I am not blind-LOL! , but I love it!! sitaki kuja kujuta ikiwa madarakani, lazima wapitie chekeche langu ambalo naamini zuri tu. CCM haikuwa na challenge hizi miaka hiyo.
I believe CDM will make good ruling party than CCM., not because of good leaders, but because of us who sustain and strengthen good leaders in your party! This is secret only anticipated leader like you will understand what I mean.
Ben, rise up uokoe kizazi, you can be another Mandela or another Lincoln who knows!
Again stay focus, you have bright future.
Lini utamalizia dozi yako.
Umeandika kama kibaka anayemuibia mama yake aliye bafuni anaoga hivyo anaogopa asikutwe. Kwa hiyo hata tathmini yako kwa mbowe ni ya mawenge hivyo hivyo
Umemaliza ama bado unaendelea.huwa mara nyingi ninaposoma post zako unazochangia katika mada inayokuwa imeiguza chadema nakuona una udhaifu wa kumjibu mtu kwa hoja, na nina hisi una degree ya matusi ambayo inaambatana na maadili kuwa zero. Mtu anapotoa hoja wewe chukua nafasi ya kuwa mwalimu wake ili umfundishe na afundishike kwa kuelewa hoja utakazo mpatia. Usiifanye Jf kama kijiwe cha kutukania watu.
Napendekeza Mwenyekiti Mbowe ajiuzulu uwenyekiti wa chama ili kutoa nafasi kwa Dr. W Slaa kuwa Mwenyekiti mpya wa CHADEMA ilitoka ngazi ya chini kabisa.
- aweze kuijenga CHADEMA ipasavyo
Pia hii itakuwa ni heshima kubwa kwa Dr. Slaa kutokana na mchango wake mkubwa alioutoa katika kukikuza chama chao na hatimaye kufika hapa walipofika. Mchango wa Dr. Slaa katika uchaguzi wa mwaka huu hautasahaulika kamwe na utaingia katika historia ya nchi hii.