kamchana vizur kiherehere kwisha
kwa dhati yako unaamini kabisa amemchana?!!! Hukumuona shangazi akiwa amepandwa morali na jazba na kushindwa ku respond serious issue raised by lissu?
1:mahakama wako under pay especially mahakimu wakazi ambao levels zao kielimu ni sawa na state attorneys, mahakimu hawalipiwi nyumba, uniform for 3yrs now.
Usafiri ni ndoto wakati state attorneys wanapata hizo zote, amehoji iweje posho za wabunge na safari za rais na mawaziri hazikosekani lakini mahakama ni kawaida!
2:mapendekezo ya lissu juu ya muungano na katiba na kuonya serikali ya muungano isiigemee huruma ya znz na rais wake bali watz watumie fursa kuamua kama wanataka muungano au la na wa aina upi?
Celina kashindwa kujibu hii kiufundi baadala yake kaishia kusema naungana na mh. Chombo(ametumia mchango wake kumtukana lissu tena kidhariri pasipo kumjibu kwa hoja lissu ), je ni wapi lissu amesema znz ni koloni la tanganyika?
3:huyu ni waziri credible kweli anapolipuka kuwa ufinyu wa bajeti hautaturiki hadharani? Kanichosha kama lissu anategemea yeye apayuke hadharani ili apate fungu toka ujenzi kama walivyofanyiwa usafirishaji yeye hawezi eti kwa vile anajua protokali na kwamba yeye ni afisa utumishi!!! What a minister ?!!
4:haya ni matokeo ya kutegemea ushirikina ili muradi rais akupe uwaziri ilihali mtu uku mahututi kiuwezo, mama jana kasoma hotuba yenye matakwa ya werema na si matakwa ya umma na asasi husika ndani ya wizara.
Kaisoma hotuba kwa ubabaishaji mkubwa jana kiasi watu tunajiuliza uwezo wake binafsi na namna atakavyojibu hoja! Kweli ame prove kuwa ni mtupu.
Hana haiba ya kiuongozi wala maadili, yeye amemsakama lissu eti kawasilisha maoni yake binafsi anasahau yule ni waziri kivuli mwenye dhamana.
*** Celina ompeshi ni zao la siasa za kukomoana ndani ya ccm ya makamba, mnafiki anayeamini ktk majungu na kujipendekeza kwa wanaombeba.
Kiongozi wa kweli kweli asingekubali kukaa wizara ambayo hayupo tayari kuleta mabadiliko, lissu ni muungwana kwani alngekuwa muhuni angehoji uwepo wa waziri asiyejua wajibu wake ktk wizara husika.
Baadala yake ktk hotuba yake alianza kwa kuelezea wajibu wa wizara na waziri husika ktk kuijenga nchi yenye kuheshimu haki za binadam na utawala bora.
Nakusihi urejee hotuba za watu hawa wawili (lissu na kombani)