Mh. Celina Kombani AMCHANA Lissu Bungeni

Mh. Celina Kombani AMCHANA Lissu Bungeni

First I have to say I have absolutely nothing against Mama Selina K. But if the qualifications are not there to do the job then why is she occupying this ministerial position. Its like a asking a simple hotel receptionist to perform Brain surgery. The ppl in whose hands the redraft of the constitution rests are not ppl who are able to comprehend the complexities of such a monumental task. The ppl of Tanzania should be active participants in the writing of their own country's constitution.

kwamimi sidhani kama huyo CELINA anastahili kuitwa mama kwa vile anavyoropoka mi nadhani aitwe SISTA DU kwani hivyo ndivyo alivyo na hivyo ndivyo anavyopeleka mambo yake ni na mashaka na huyo aliyemchagua kama toka awali kwa wenye akili walishamsikia kuhusu katiba haya anayoyazungumza c mageni ndivyo alivyo katika SERIKALI HII LEGELEGE YA MAWAZIRI LEGELEGE bac tuu kanuni za bunge haziruhusu huyu mama angeweza kuvaa kanga za vijembe bungeni kwa hilo haliwezekani ameamua kuwa na mdomo mchafu kama alivyofanya.

Huyu Kombani uelewa wake hauko tofauti na Nape ma CCM bwana wana mashida sana sana .

First I have to say I have absolutely nothing against Mama Selina K. But if the qualifications are not there to do the job then why is she occupying this ministerial position. Its like a asking a simple hotel receptionist to perform Brain surgery. The ppl in whose hands the redraft of the constitution rests are not ppl who are able to comprehend the complexities of such a monumental task. The ppl should be active participants in the writing of their own country's constitution.
take ur credit ur right

....Mtu anayesema Kilaza Kombani amchana Mh Lissu......ni lazima huyo atakuwa kilaza zaidi ya Kombani

Leo Waziri wa Sheria Selina Combani kamchana Mh. Tundu Lisu wazir kivuli wa sheria , msemaji wa kambi ya upinzani
Anadai:

1. Lissu ametumia lugha ya uchochezi ktk hotuba yake.

2. Hajaptia hotuba ya wzara kabla ya kuandaa ya kwake.

3.Mh. lissu huwa anakwepa vikao vya kamati ya bunge kwa hiyo hawezi kujua yaliyojadiliwa.mfano kikao kimojawapo alikuwa Nyamongo.

4.Awaasa wabunge wa kambi ya upinzani wa pitia hotuba za mawazir ili kuepuka "madudu" ya mtu mmoja kuwakilisha mawazo ya kambi nzima.

5.Kuhusu kukithiri rushwa mahakamani, anadai hana uhakika ilia atafatilia.

6.Asema Lisu hajatumia Busara, akili n akarima aliyojaaliwa na mungu.

7. Mchakato wa katiba bado.

8.Kuhusu bajet ya Wizara inatosha kama Lisu anaona haitoshi ajazie kutoka kwenye jimbo lake.
Mwisho amesema Lissu ametoa hoja ambazo ni genuine ila nyingne amedanganya.

hayo ni kwa ufupi

sasa kama hoja ni genuine mbona anasema blah blah zote hizo juu

Tundu Lisu ni miongoni mwa viongozi watakaoacha legacy katika nchi hii.
Kombani hawezi kujibu hojaa za lisu.

Hapo kwenye mshahara na usafiri natofautiana na wewe mshahara wa mahakimu wa kazi ni mkubwa kuliko wa state attorneys na vile vile mastate hawana allowance ya usafiri na kama Tundu Lissu alisema hivyo basi amepotosha. Ila kama umeamua mwenyewe kuleta upupu huu ebu consult directives zinazotoka utumishi utaona tofauti ya mishahara hiyo, sina record sasa ninge kuonesha. Harafu unatakiwa utambue state attorney ni kuanzia yule wa grade 2 hadi Attorney General. Mshahara wa kuanzia kazi wa mahakimu ni mkubwa kuliko wa mastate attorney.

NAKUOMBA NENDA PALE MOFEA NA POPSM IDARA HUSIKA NA MISHAHARA, SITAKI KULUMBANA NAWE KTK HILI, KUHUSU USAFIRI NAKUTAKA UENDE SUKARI HOUSE NA SHERIA UKAONE JINSI WANAVYOPATIWA USAFIRI NA PIA NENDA MAHAKAMA ZOTE DSM ANGALIA MAOFISI YOTE YA HAO STATE ATTORNEYS HALAFU LINGANISHA NA ZA MAHAKIMU WAKAZI TAFAUTI NI KUBWA SANA. HALAFU KWANINI WAO WANALIPIWA NYUMBA WAKATI WENZAO HAWAWEZESHWI? LiSSU YUKO WAZI KWENYE AREAS HIZO ILA MAMA KAZIKIMBIA

Naomba usifikiri kwa masaburi wewe, huna data unaongea kwa hisia. Ngoja nikuelimishe mahakimu na mawakili mishahara yao hawatumii ngazi ya TGS kama wafanyakazi wengine wa serikali wanatumia TJS kwa mahakimu na AGCS kwa mawakili wa serikali. Ngazi ya kuanzia kazi wote ni daraja la 2. Mshahara wa hakimu mkazi daraja la 2 ni sawa na mshahara wa wakili wa serikali la 1 hivyo mshahara wa wakili wa serikali daraja la 2 ambao ni wa kwanza uko chini. Kuhusu usafiri hakuna kwanza kwa macho tu maisha ya mawakili ni ya chini kuliko ya mahakimu wengi wana magari binafsi.

By sirlimu ibwe leo waziri wa sheria selina combani kamchana mh. Tundu lisu wazir kivuli wa sheria , msemaji wa kambi ya upinzani
anadai:
1. Lissu ametumia lugha ya
uchochezi ktk hotuba yake. kamchochea nani?
2.
hajaptia hotuba ya wzara kabla ya kuandaa ya kwake-haihitaji kupitia hotuba ya wizara kwani ni pumba tupu.
3.mh. Lissu huwa anakwepa vikao vya kamati ya bunge kwa hiyo hawezi kujua yaliyojadiliwa.mfano
kikao kimojawapo alikuwa nyamongo.-hapa hajamchana, kajichana mwenyewe! Kwani lazima uhudhurie vikao vyote kama kuna kuna mambo ya kitaifa nje ya bunge?
4.awaasa wabunge wa kambi ya upinzani wa pitia hotuba za mawazir ili kuepuka "madudu" ya mtu mmoja kuwakilisha mawazo ya kambi nzima.-
the woman is confused, she can not convince any one!
5.kuhusu kukithiri rushwa mahakamani, anadai hana uhakika ilia atafatilia.-natakani kumtukana hapa! Yaani hajui kama kuna rushwa? Shenzing kabisa. Utaniharibia swaumu wewe mdada.
6.asema lisu hajatumia busara, akili n akarima aliyojaaliwa na mungu.-katumia nini? Mpaka ndugai mwenyewe kamfagilia kwa kutoa data zake za nkuruma hall enzi zele, acha mama, utapata ki sugar bure.
7. Mchakato wa katiba bado.,
why? Lazima uje, tena haraka, no discussion here.
8.kuhusu bajet ya wizara inatosha kama lisu anaona haitoshi ajazie kutoka kwenye jimbo lake-upupu.
mwisho amesema lissu ametoa hoja ambazo ni genuine ila nyingne amedanganya-masaburi.

hayo ni kwa ufupi

kaka umejibu vizuri sana......hehehehe...!

I think she is just not appropriately qualified/knowledgeable for the great task she has to deal with. Her lack of capability blatantly reveals itself in her handling of herself before the public. The most dangerous situation here is that great sensitive matters dealing with the country's future are in the hands of ppl who are not qualified, neither are they proficient in handling the matter before them. Neither do they have a perspective nor a strategy implemented. And they plainly do not want to have a dialogue with the public they are serving. Its just plain disgraceful. Make NO mistake about this, this is Dangerous!

....the woman is confused, she can not convince any one!
I second that. She is clueless, lacksadaisical, its beyond her whole self how to deal with the situation before her. Its really not her fault, its the fault of the person who appointed her to that position. Why appoint someone who is so blatantly unqualified to be heading such a sensitive Ministerial post. If she knows what;s best for her, she should resign. From day one, she has been a disaster in her position.

Moja: Hoja yako imekaa kishabiki zaidi kuliko mantiki!

Mbili: Kwa maelezo yako inaelekea Celina Kashambulia mtu si hoja za mpinzani wake hivyo kajishambulia mwenyewe!

Tatu: Kitabu cha Bajeti kwa mtu yeyote aliye na uzoefu wa kusoma taarifa [reports] si nyaraka inayohitaji uenda Library kutafuta maana ya msamiati fulani ulioandikwa humo.

nne: Kamati inapokaa mawazo ya wengi ndiyo hupita kama. Kama yeye na kambi ya upinzani hawakubaliani na mawazo ya hiyo kamati wana haki ya kutoa wazo mbadala!

KWA MTAZAMO HUO KOMBANI BADO KAJIKOMBA KIGANJA CHAKE MWENYEWE NA SI CHA LISSU!

huo ndio hasa ujumbe wangu kwenu.

Makosa yamefanyika na yanaendelea kufanywa kwa kuwachagua watu wenye akili kama za chief mangungo baada ya miaka hamsini ya uhuru.
Ni aibu kubwa kwa Viongozi wa serikali na mahakama kutoona tatizo mahakama ya juu kabisa kuhamishwa na muwekezaji.
Kuna haja ya kuvunja vunja mfumo wa utawala wa nchi hii na kuujenga upya ili uwe na faida kwa wananchi, kwa kuwa kuna dalili za wazi kabisa kwamba viongozi wenye mawazo na matendo ya kimangungo wanaongezeka siku hadi siku.
Tukivumilia mawazo na matendo haya, kuna uwezekano siku moja tusikie kuwa serikali inahamisha IKULU toka magogoni kwenda sehemu nyingine ili kupisha uwekezaji, wawekezaji watatujengea sehemu nyingine.

Naomba usifikiri kwa masaburi wewe, huna data unaongea kwa hisia. Ngoja nikuelimishe mahakimu na mawakili mishahara yao hawatumii ngazi ya TGS kama wafanyakazi wengine wa serikali wanatumia TJS kwa mahakimu na AGCS kwa mawakili wa serikali. Ngazi ya kuanzia kazi wote ni daraja la 2. Mshahara wa hakimu mkazi daraja la 2 ni sawa na mshahara wa wakili wa serikali la 1 hivyo mshahara wa wakili wa serikali daraja la 2 ambao ni wa kwanza uko chini. Kuhusu usafiri hakuna kwanza kwa macho tu maisha ya mawakili ni ya chini kuliko ya mahakimu wengi wana magari binafsi.

Hovyoo, nilifikiri ni mjenga hoja mzuri kumbe macho yako yanaishia kisutu tu; hebu njoo mtimbira na mbwemkuru huku uone mahakimu tunavyoteseka, hongo ya jogoo tu haki inapindishwa. unasema magari wakati baskel hatuna wenzio

Umuhimu wa kuvunja baraza hili la mawaziri utadhihirika punde baada ya kikao hichi cha bunge kumalizika.

Hivi huyu dada cndiye aliwahi kusema kuwa hii nchi haiitaji katiba mpya? hivi bado yuko madarakani? Dah! Nchi yangu Tanzania nakupenda lakini

Hovyoo, nilifikiri ni mjenga hoja mzuri kumbe macho yako yanaishia kisutu tu; hebu njoo mtimbira na mbwemkuru huku uone mahakimu tunavyoteseka, hongo ya jogoo tu haki inapindishwa. unasema magari wakati baskel hatuna wenzio

Bro mimi nakubaliana na wewe lakini tambua kuwa niliyekuwa namjibu amezungumzia mahakimu wakazi na mastate attorney hawa wote wana qulification sawa lazima uwe na degree kulingana na scheme of service. Mimi nimemjibu kwa ufanano huo nimezunguka sana hakimu mkazi wa mwanza kimaisha halingani na state attorney wa mwanza pamoja na kwamba wanaqulification sawa na wameanza kazi siku moja the same applies kwa mikoa mingine. Hata hivyo kuna cadre nyingine ya mahakimu ambapo hakuna cadre hiyo kwa mastate attorney nao ni mahakimu wa wilaya na mwanzo hawa wana diploma na certificate ta sheria, hakuna wakili wa serikali mwenye qulification hiyo. Kwa hiyo cadre hii ya pili hawezi kuwa sawa na mastate attorney kwa sababu elimu ni tofauti, nadhani cadre hii iko huko unakokuongelea na hawa hawakuwa subject ya majibu yangu kwa sababu mtoa mada hakuwazungumzia hawa.

Leo Waziri wa Sheria Selina Combani kamchana Mh. Tundu Lisu wazir kivuli wa sheria , msemaji wa kambi ya upinzani
Anadai:

1. Lissu ametumia lugha ya uchochezi ktk hotuba yake.

2. Hajaptia hotuba ya wzara kabla ya kuandaa ya kwake.

3.Mh. lissu huwa anakwepa vikao vya kamati ya bunge kwa hiyo hawezi kujua yaliyojadiliwa.mfano kikao kimojawapo alikuwa Nyamongo.

4.Awaasa wabunge wa kambi ya upinzani wa pitia hotuba za mawazir ili kuepuka "madudu" ya mtu mmoja kuwakilisha mawazo ya kambi nzima.

5.Kuhusu kukithiri rushwa mahakamani, anadai hana uhakika ilia atafatilia.

6.Asema Lisu hajatumia Busara, akili n akarima aliyojaaliwa na mungu.

7. Mchakato wa katiba bado.

8.Kuhusu bajet ya Wizara inatosha kama Lisu anaona haitoshi ajazie kutoka kwenye jimbo lake.
Mwisho amesema Lissu ametoa hoja ambazo ni genuine ila nyingne amedanganya.

hayo ni kwa ufupi

Kama kasema yule mama nadhani sina haja ya kuchangia upuuzi huu..kati ya mawaziri vilaza,ukitaja orodha yao..Kombani anacheza kwenye top 5.....LIST HII
1. Hawa Ghasia
2. Lukuvi
3. Kombani
4. Chiligati
5. Ngeleja....

Back
Top Bottom