Baba_Enock
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 7,078
- 2,443
Sh ngapi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
aisee bobuu...hii kitu ni muhimu sana.....hivi mchakato wake unaanzaje....?
yaani kama hiki hapa.....
View attachment 56035
Mkuu huku nilipo silaha zinauzwa kam Biskuti tu unazikuta Madukani wewe unachotakiwa uonyeshe Kitambulisho chako unauziwa na Risasi pamoja huku mtu akikukorofisha basi unaweza kumtandika mara moja silaha sio kitu kizuri kuuzwa kama juice.
wapi huko mkuu.I think i love respect so nataka nije niishi huko
mimi ni jasiri lakn haya ya silaha sitak hata kuyasikia
Aithee Preta, njoo nikupime haraka mana kila nikuona hiyo avatar yako kichaa kinainyemelea!kumbe basi ninakidhi vigezo......
na je kama huyo anayenipima ndio hana akili timamu nitajuaje....? inatakiwa tupimane coz kila mtu ana kichaa chake.....
Kanaua pamoja na uzuri wake ati
Duh! Nilisahau ati, nilifikiria tu kuhusu kuwatimua majambazi.
mchakato unaenda duka la silaha (tanganyika arms) unachagua unayoitaka kama ni glock, perreta... unailipia full amaunt then mashine inakuwa reserved, unapewa receipt na fomu unapeleka serikali za mitaa/mjumbe anarecomend then unapeleka polisi wilaya wanakuchunguza/kuhoji na wanarecomend then polisi mkoa nao unawapelekea. ukipitishwa na hao wote unarudisha fomu pale ulipolipia wanakupa mafunzo mafupi then unakabidhiwa mashine.... only that LAKINI polisi wakirecomend usipewe unakuwa refunded full amaunt
ni bora usiwe nayo ila kuna baadhi ya mikoa hapa nchini lazima uwe na hio kitu..hata kama ..Hapa ndo kuna tatizo ukishaichukua info zinapelekwa kwa vijana wa kazi halafu wanaweza kuja kuipitia kwako kuwa mlolongo ni mrefu sana.
Huu ndo mpango mzima, kitu AK 47,