Capitano
JF-Expert Member
- Apr 7, 2011
- 1,959
- 1,635
aisee bobuu...hii kitu ni muhimu sana.....hivi mchakato wake unaanzaje....?
yaani kama hiki hapa.....
View attachment 56035
Preta Preta duuuh!!!!!. Hiyo nadhani ni browning. Lakini kabla hujaamua kuiimiliki lazima uwe na uhakika kama ni muhimu hivyo kuwa nayo. usivutiwe na sura yake tu. La pili kuhusu mchakato wa kupata leseni unaanza baada ya kuinunua. Na maduka yako mawili tu kama unataka mpya. Baada ya kuinunua ndio unaanza utaratibu wa kuimbea leseni nipm nikupe utaratibu wake.