Mguu wangu wa kuku

Mguu wangu wa kuku

napenda nipigie picha tu then niirudishe mshare wangu unanitosha sana so Comrade ivuga nitakuja kuazima nipigie picha risasi utatoa kabisa
 
umeona eehhh....we Saint Ivuga hebu nieleze mchakato kwanzia mwanzo bana......kupimwa akili najua ni katikati ya mchakato.........

Preta ukiwa na M moja tu unavuka vikwazo vyote hivyo unamaliza mambo kimya kimya na baada ya majuma sita unatia ngoma kwapani
Nchi hii ni kitu gani hakiwezekani!
 
Last edited by a moderator:
unatumiak kwenye mazoezi ili kuizoea ila sio mambo ya kihalifu

Inaonesha inapiga kazi si mchezo. Si unaona kamepata scratches za kutosha, na screws kama zimelegea hivi. . .

waambie wakupatie/jipatie ka revolver kakisasa zaidi. Hako kanaload gololi ngapi?
 
kumbe basi ninakidhi vigezo......
na je kama huyo anayenipima ndio hana akili timamu nitajuaje....? inatakiwa tupimane coz kila mtu ana kichaa chake.....

Nadhani mume na mke pia inabidi wapimwe akili kama mmoja wao anataka kumiliki, mara umkorofishe bibie uko kakufuma

na lishangingi maeneo na anajua mguu unapokaa! Loh, otherwise uwe upo na wewe all the time. Just thinking aloud
 
Preta ukiwa na M moja tu unavuka vikwazo vyote hivyo unamaliza mambo kimya kimya na baada ya majuma sita unatia ngoma kwapani
Nchi hii ni kitu gani hakiwezekani!

Zinduna, toa hiyo latop huko bana unaharibu mambo muhimu (refer ur avatar)
 
Last edited by a moderator:
mguu.jpg

Haka je?
 
saint ivunga yaani hii kitu sitaki hata kuiona iskie tu rafiki. hiyo inatoa moto arifu na ukipiga kama huna nguvu unaweza kudondoka nayo kwa sababu ya ile firing force yake lol! staki hata kuiona
Mkuu huku nilipo silaha zinauzwa kam Biskuti tu unazikuta Madukani wewe unachotakiwa uonyeshe Kitambulisho chako unauziwa na Risasi pamoja huku mtu akikukorofisha basi unaweza kumtandika mara moja silaha sio kitu kizuri kuuzwa kama juice.
 
mimi ni jasiri lakn haya ya silaha sitak hata kuyasikia
 
kumbe basi ninakidhi vigezo......
na je kama huyo anayenipima ndio hana akili timamu nitajuaje....? inatakiwa tupimane coz kila mtu ana kichaa chake.....

shem nilikuwa sijacheka siku nzima.... una visa wewe.
 
Mlango wa chuma ukifunguka hauna huruma.
 
Back
Top Bottom